UDSM yashika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki na 4 Afrika kwa wahitimu wake kupata ajira

UDSM yashika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki na 4 Afrika kwa wahitimu wake kupata ajira

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,147
Reaction score
39,545
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeitoa Tanzania kimasomaso baada ya kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na cha nne Afrika, kwenye soko la ajira.

Akizungumza leo Julai 15, 2026 na waandishi wa habari chuoni hapo, Naibu Makamu Mkuu wa UDSM-Utafiti, Prof. Nelson Boniface, amesema chuo hicho kimeshika nafasi ya 131 duniani kwa ubora katika eneo hilo kati ya vyuo 8,800 vilivyofanyiwa tathmini na taasisi ya ‘QS World University Rankings’ 2027.

“Chuo kimepata alama 85.3 katika kipengele cha ‘employment outcome’ jambo linaloonesha kuwa wahitimu wetu wanathaminiwa sana na waajiri na wanaendelea kutoa mchango mkubwa katika serikali, sekta binafsi, viwanda, taasisi za kimataifa na maendeleo ya Taifa

UDSM ni chuo bora Afrika kuliko vyuo vyote. Na kinaweza kuwa bora zaidi kikifanya yafuatayo:

1. Mwanafunzi anaye jiunga Bachelor aandike study plan au personal statement.

2. Mwanafunzi anaye hitimu Bachelor aandike na kupublish research paper moja kwenye journal kubwa duniani.

3. Mwanafunzi anaye hitimu Masters aandike na kupublish research papers mbili kwenye journals kubwa duniani.

4. Mwanafunzi anaye hitimu PhD aandike na kupublish research papers tatu kwenye journals kubwa duniani.

Kwa mwaka kitakua na publication = PhD (65×3) + Masters (522×2) + Bachelor (1291 ×1) = 2,530

Hizo tafiti zitapelekea chuo kipate citation score nyingi sana ambazo zitaongeza alama ya chuo (Citations per Faculty Score) na kukifanya kipande nafasi za juu zaidi kwenye viwango vya vyuo bora duniani.
 
UDSM ni chuo bora Afrika kuliko vyuo vyote. Na kinaweza kuwa bora zaidi kikifanya yafuatayo:

1. Mwanafunzi anaye jiunga Bachelor aandike study plan au personal statement.

2. Mwanafunzi anaye hitimu Bachelor aandike na kupublish research paper moja kwenye journal kubwa duniani.

3. Mwanafunzi anaye hitimu Masters aandike na kupublish research papers mblili kwenye journals kubwa duniani.

4. Mwanafunzi anaye hitimu Masters aandike na kupublish research papers tatu kwenye journals kubwa duniani.

Kwa mwaka kitakua na publication = PhD (65×3) + Masters (522×2) + Bachelor (1291 ×1) = 2,530

Hizo tafiti zitapelekea chuo kipate citation score nyingi sana ambazo zitaongeza alama ya chuo (Citations per Faculty Score).
Mazingira hayo yapo? Kuna maprofesa mule wanakaa hata miaka 1p bila kupublish
 
Back
Top Bottom