ajira

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Kampuni ya Ulinzi ya Synergy Security Ltd

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI. Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye sifa zifuatazo; 01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hakika sekretariat ya Ajira inajitahidi katika majukumu yake

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Juma Mkomi ameipongeza Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha mchakato wa ajira kwa ufanisi. Bw.Mkomi ametoa pongezi hizo jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha Sekretarieti ya Ajira pamoja na wadau...
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya Mazuri ya Samia ni kufungua nchi kwenye Ajira. Kilichomtoa Mchezoni ni Mambo ya Utekaji na Mauaji ambayo serikali yake imeshindwa kutoa jawabu

    Mpo Salama! Hata wanaomchukia wanakiri kuwa Rais Samia alipoingia aliwatia katika wakati Mgumu. Kwanza, aliamua kufuata Haki ya watu kuwa Huru Kujieleza. Hiyo nilimpa Big tick! Katika haki hiyo wapo waliomzodoa na kumkabia kooni kwa namna Mbalimbali. Wengine wakimvunjia heshima Kama Rais wa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Tanzania na changamoto ya Ajira

    “Changamoto ya ajira nchini Tanzania haiko kwenye ukosefu wa kazi, bali kwenye mfumo wa unyonyaji unaoendelea, hususan katika sekta binafsi. Watu wanatumia muda wao mwingi, maarifa yao ya hali ya juu, na nguvu zao kuzalisha thamani kubwa kwa waajiri, lakini malipo wanayopata ni duni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  11. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuhitimu masomo ilikuchukua muda gani hadi kupata ajira yako ya kwanza?

    Achana na swala kutafuta ajira, unaweza kutembea na bahasha hadi ukahisi una mkosi au umelogwa ili usifanikiwe, Kuna wengine wana bahati, Baada ya kuhitimu wanapata ajira on spot, but wale wenzangu na mimi tuliosota miaka kadhaa kutafuta ajira nawapa pole sana. Ukipita kwenye makampuni unakuta...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanachuo kutoka NCT Kutopata Ajira serikalini kupitia Ajira Portal

    Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
  13. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la jobless wanawake na graduate waliokosa ajira kwasasa ni kuolewa? Inanishangaza sana

    Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende...
  15. G

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada, napata changamoto kubadilisha taarifa ajira portal

    Msaada kwa anayejua namna ya kubadilisha taarifa kwenya account ya ajira portal. Mfano, Nilijiandikisha programu category ya Bachelor of arts (BED) education yaani somo moja. Badala ya Bachelor of arts with education (BAED) yaani masomo mawili kimakosa. Nawezaje kubadilisha taarifa maana...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kuweni Makini Kuna Matapeli wa Ajira, Soma kisa hiki cha Kweli

    Kisa cha kweli Mwajili Tapel kuweni Makini sana. Katika Ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa adimu kuna matapeli wengi wanaoliza watu tuwe makini, Hiki ni Kisa cha kweli kabisa kanisimulia rafiki yangu kiilimpata last week. Iko hivi huyu jamaa alipigiwa simu na baba yake mdogo Kwamba kuna...
  17. Lamborgini

    JamiiForums Tanzania Nisipopata ajira

    Plani zangu izo apo,Vipi kuhusu nyie wakuu
  18. Boyfriend15

    JamiiForums Tanzania Ajira zipo, Mrejesho wa jinsi nilivyopata ajira kupitia jukwaa hili

    Habari za muda huu wakuu, Nipo mbele yenu kutoa ushuhuda wa jinsi jukwaa hili lilivyoleta mwanga kwenye maisha yangu. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa hapa nilipo naamini kusudi lake na matakwa yake yamenifanya nifike hapa leo hii. Mimi ni kijana nilimaliza degree yangu ya...
  19. innongailojr

    JamiiForums Tanzania TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator

    TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator Location: Mwenge,Dar es salaam Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi) Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuna uteja wa ajira za serikalini, Mtu yupo tayari kuacha milioni 10 private kwa mshahara wa milioni 1 serikalini

    Ni kutojiamini, wanataka sehemu yenye blanketi zito hata kama maslahi ni madogo Halafu wengi huwa wanazuzuka na zile story za kupiga dili lakini wakifika huko wanakutana na mambo tofauti kabisa, deals zinapigwa kwe circle za watu wachache sana.
Back
Top Bottom