ajira

  1. Liu Yun

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumuajiri Kwenye kampuni au Kazi yako?

    Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri watu wenye 60-80%. Hii ni kwanini?
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtia nia Urais CUF atawapa Vijana Ajira

    Mtia nia wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi mkuu kupitia Chama cha Wananchi CUF Nkunyuntila Siwale amesema endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kuwania nafasi ya Urais atawapa ajira Vijana wote nchini kwani anazijua mbinu zote. Mzee Siwale ameyasema hayo Julai 15, 2025 baada ya kukabidhiwa fomu...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira

    Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira. 1. Computer Science 2. Healthcare 3. Degree of Mass Communication 4. Some engineering courses. 5. Business Management. Ongezea Degree moja hapa tuone?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira?

    Wakuu wa kaya ni namna gani ya kujitoa kwenye ajira ambayo ni financial security Na kwenda kwenye mifumo mingine ya kusaka fedha yenye uhuru Zaidi wa kifedha yaani financial freedom Unashauri kijana akifika kiwango gani Cha fedha anaweza ku escape game ya mshahara wa kila mwezi kama yupo...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira Graduate Trainee

    https://www.instagram.com/p/DMEPZRUiiaQ/?igsh=bHhiY3dzaTF5NGFy
  7. John Sin

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumerogwa? Unakataa Fully funded scholarship ya masters India kisa ajira ya halmashauri (ualimu)?

    Kwenye pitapita zangu vijiwe mbalimbali vya wasap nikakuta kijana anaomba ushauri kuwa kati ya fully funded scholarship ya master's India kozi ya environmental science and ecology kama sijakosea na ajira yake mpya ya ualimu halmashauri achague nn? Hapa ndo nikaona ujinga wa wabongo wengi kukosa...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Isihaka Mchinjita: Serikali ilaumiwe kwa kushindwa kuwaajiri walimu

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, ameikosoa vikali Serikali kwa kushindwa kushughulikia tatizo la ajira kwa walimu pamoja na uhaba mkubwa wa walimu mashuleni. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Julai 11, 2025, katika Jimbo la Pangani, Mkoa wa Tanga...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  12. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Ajira ni utumwa, mshahara wa kila mwezi ni adui mkubwa wa ndoto za wengi

    Kipindi unaingia kwenye utumishi wa umma au private uliweka malengo mengi juu ya mshahara wako lakini sasa Sheria na maziningira ya kazi yanafanya usahau ndoto zako Mshahara ikawa ni madawa ya kulevya Uliingia kwenye ajira ukiwa na miaka 26+ apo una diploma labda uliingia na ndoto zako maraa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ebu tangazeni ajira za maana

    Kila siku mtu ukiingia ajira portal ajira zilizopo ni za madereva, waendesha office,watendaji wa vijiji,walimu na wasaidizi wa kumbukumbu pekee,halafu waajiri ni halmashauri. Ebu tangazeni ajira za maana kutoka taasisi za maana pia.
  14. Investaa

    JamiiForums Tanzania Bado tunalaumu serikali kuhusu AJIRA?

    Habari mazee! Huyu jamaa kajiongeza sana na elimu imemsaidia kwa kiasi kikubwa, hakutaka kuilaumu serikal bali alichukua hatua na kujiajiri mwenyewe kuliko kuendelea kulalamika https://www.youtube.com/watch?v=ESl_RqbPpb0
  15. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Baba mdogo alipoteza ajira yake, akapata kesi, kafungwa jela kwa kukosa faini milioni 40 tu, huku ana watoto wakubwa aliowasomesha India na UK

    Habari wadau. NIna baba yangu mdogo alikuwa bosi kwenye wizara moja serikalini. Alikuwa na cheo cha kamishna kwenye taasisi moja inayosimamiwa na wizara yake. Mwaka 2021 Bahati mbaya baba mdogo alipata matatizo kazini. Matatizo hayo yalimfanya apoteze ajira yake na kupata kesi mahakamani...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical technicians wanazidi kupoteza soko la ajira kila kukicha

    Siku hizi ajira nyingi za maduka ya madawa haswa dldm wanahitaji either nurse au clinical officer kwa kigezo cha kuuza dawa na kuchoma sindano wakipata mgonjwa wa namna hiyo. Pharmaceutical technicians huwa wanatoswa kwenye hizi ajira jambo ambalo linawauma sana.
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuwe na mikopo ya milion 2.5 kwa vijana ambao wanamaliza vyuo kama mtaji

    Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi Swali hizo hela zitatoka wapi? Jibu ni hili 1. Kupunguza...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ubunge sio ajira? Mbona wenye ajira ndio wanao kuomba wasio na ajira hawaombi

    Vijana wasio na ajira mbona hawajitokezi kuomba ujira UO? Mbona wenye ajira ndio wanao omba ubunge? Kasoro king msukuma ndo Hana ajira maana Hana elimu
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Misukosuko tunayopitia wakati wa kutafuta ajira

    Utangulizi Katika nchi ya Tanzania, ndoto za vijana hujengwa vyuoni na kubomolewa polepole wanapokutana na changamoto halisi za kutafuta ajira. Wengine wanatoka vijijini wakiwa wamebebewa matumaini na familia, wengine wamelelewa mjini lakini wote wanakutana chuoni wakiwa na hamasa na kiu ya...
  20. Holota

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
Back
Top Bottom