ajira

  1. Kalamu Nzito

    JamiiForums Tanzania Nimekosa ajira za TRA, wenye fursa mahali pengine anisaidie

    Habari wana JF, Bado napambana na ajira (kujiajiri bado sio suala jepesi). Nilifanya mtihani wa TRA lakini bahati mbaya sikufuzu. Nina Shahada ya Sheria. Bado sijakamalisha Post graduate diploma ya Law School. Nimeshafanya kazi za kujitolea mahakamani na kwa mawakili. Pia nimefanya kazi za...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Ulazima Gani kwa Waombaji Ajira JWTZ Kulazimishwa Kupeleka Maombi Yao kwa Mkono Makao Makuu Dodoma

    Hivi majuzi tumeshuhudia msemaji wa Jeshi akitangaza nafasi za kuandikisha vijana Jeshini pamoja na sifa na vitu vyengine kuhusiana na maombi hayo. Pamoja na hayo ameelezea utaratibu kwa waombaji wa nafasi hizo,bila kuanisha utaratibu wa kutuma maombi hayo kwenda Makao makuu ya jeshi Dododma...
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ajira 31,148 zimezalishwa kwenye miradi ya umeme

    AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148. Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54). Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018...
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  6. iddy mweka

    JamiiForums Tanzania Usaili wa ajira za polisi 2025

    Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
  7. Dr kijaji

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika, Kati ya MD na DDS ipi nzuri kwenye soko la ajira kwa Sasa?

    Mdau mmoja anapitia changamoto juu ya program gani ya afya nzuri aende kusoma mwaka huu, yenye urahisi wa ajira.
  8. Deinstein 01

    JamiiForums Tanzania Kwanini hela zinazoenda HESLB kila mwaka zisiingizwe kwenye uwekezaji ili kuongeza ajira?

    Habari wakuu! Kama ilivyo ada kila mwaka serikali inapeleka matrillioni kwenye bodi ya mikopo ya elimu ya juu yaani HESLB ili kuwawezesha wanafunzi wamudu gharama za kupata elimu ya juu. Sasa kuliko kuchangia katika kuzalisha wahitimu wasiokuwa na ajira na wenye madeni ya HESLB ni bora fedha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  10. M

    JamiiForums Tanzania FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  12. Daby

    JamiiForums Tanzania Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030

    Vijana msio na ajira jikusanyeni mchukue nchi 2030. Vijana wengi toka 2014 hawana ajira za kueleweka. Mamilioni wamejazana mitaani. Sisi kaka zenu, baba zenu na wadogo zenu tutawaunga mkono. Wazazi wenu wanajua adha waliyopitia kuwapeleka shule. Kaka zenu tunajua changamoto mnazopitia kutwa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marobot yanavyo zidi kuziba ajira na AI

    Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM. China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri. Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group. China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  15. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  16. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Biomedical engineer aliyepo mtaani Hana ajira?

    Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Deodatus Mwanyika: Serikali Iwalinde Wananchi Dhidi ya Wawekezaji Kwenye Ajira

    MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA "Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
  19. T

    JamiiForums Tanzania PSRS mtaua vijana mtaani, toeni ajira

    Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
Back
Top Bottom