ajira

  1. JamiiForums Tanzania Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

    lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki. Kuna system yenu mnaiita...
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

    Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum. Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
  4. JamiiForums Tanzania Changamoto za Ajira Portal

    1. Kama wewe umesomea Bachelor of Engineering (B.Eng) kwa mfano umesomea Bachelor of Engineering in Mechanical Engineering/Electrical Engineering kama nafasi imetangazwa na imetaja inahitaji mtu mwenye Bachelor of Science in respective coarse my dear uki apply inagoma, and vice versa. 2. Mfumo...
  5. JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye kichwa cha barua ya maombi ya ajira /kazi

    Habari vijana wenzangu? Sehemu iliyopita nilionyesha makosa wanayofanya vijana katika kuomba kazi hususasani kwenye taasisi za serikali. Leo pia nitaeleza shortly juu ya kosa moja dogo nililoliona kwa vijana wetu Tanzania. Kabla hujatuma maombi ya kazi jua kuwa hilo tangazo limetazamwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Madakitari nje nje

    Wizara ya Afya imetoa majina ya Madakitari daraja la pili walio ajiriwa wapya
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika kujua utaratibu wa hizi ajira za utumishi wa mahakama, kipengele cha masharti ya uombaji

    Aidha, inasisitizwa kwamba: - 9.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na 44 9.2 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa W ilaya anayoishi mwombaji. 9.3 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa. 9.4 Waombaji walioacha kazi katika...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kulinda ajira yako fanya yafuatayo

    1. Toa majibu ambayo mwajiri wako anayataka. Jitahidi ujue anataka majibu gani mpe hayo hayo. hapa ndipo pagumu lakini pafanyie kazi kutoka watu wake wa karibu 2. Kaa kimya inapowezekana. 3. Jishushe mbele yake, kuwa mnyonge
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Boeing 16,000 watapoteza ajira baada ya kampuni hiyo kupata hasara

    Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa Boeing imepata hasara...
  11. JamiiForums Tanzania Mishahara Sekta Binafsi Corona (covid 19): Mwajiri analazimisha likizo bila malipo

    Naandika kwa niaba ya rafiki: Ninafanya kazi kwenye moja ya international schools Dar es Salaam. Agizo la waziri mkuu kwamba shule zifunge lilipotoka tulianza likizo na mwezi wa tatu tulilipwa, tulikua tukifundisha kutokea nyumbani. Sasa week iliopita mwajiri aliandika ujumbe kwa baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Pamoja na uchumi wa Afrika kuwa mdogo ila janga la Corona litapelekea uchumi huo kudidimia zaidi. Ajira milioni 20 kupotea

    AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact of the coronavirus pandemic. Most African economies are projected to shrink this year due to the...
  13. JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kasi ya wahitimu tegemezi wa ajira napendekeza yafuatayo

    Hadi wakati huu taifa letu lina wahitimu wengi ambao walitegemea kuajiriwa baada ya kuhitimu mafunzo yao ya elimu aidha ya vyuo vikuu ama ambao kwa bahati mbaya ni wahitimu wa elimu ya juu ya sekondari yaani kidato cha sita na wameshindwa kusonga mbele kwa kufeli ama kwa kukosa mkopo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata ajira bila cheti cha form four?

    Namaanisha hivi... Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata kibarua kiwandan nilifanikiwa kujilipia technical college pale techno brain(Dar es salaam) ambako wao...
  15. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuajiri kwenye miradi yetu nchini sio mzuri

    Kumekuwa na taratibu zisizo rasmi ktk kutoa ajira kwenye miradi mbali mbali ya maendeleo nchini mwetu, licha ya kuwa serikali inataka baadhi ya nafasi kupewa wazawa ili nao wapate ajira na kuendeleza ustawi wa nchi. Badala yake hata nafasi wanazoweza kufanya watanzania wanapewa wageni kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kozi zenye fursa kubwa ya ajira na kujiajiri katika sekta ya Bahari

    Hizi ni kozi ambazo mtu anaweza akasoma kuanzia ngazi ya Certificate,Diploma, Bachelor au Masters na akawa name fursa kubwa ya kupata kazi nchi yoyote na ni rahisi kujiajiri kwenye sekta ya bahari. 1.Marine Survey Hii kozi ukisoma la kazi zako itakuwa ni kukagua meli kabla haijajengwa, Meli...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kulipa mishahara wafanyakazi sekta binafsi ili kulinda ajira

    Mtikisiko wa Corona :Serikali ya Uingereza kulipa mishahara wafanyakazi wa sekta binafsi ili kulinda ajira zao. Kwa kweli huu ni utu zaidi ya ujamaa wa Mwalimu Juliazi. ==== Has the national life of this country ever been transformed so completely and at such a speed? In the course of a week...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva. Nina experience nzuri ya kufanya kazi na makampuni makubwa

    Naitwa Irshadi Kusaka mimi ni mkazi wa Dar es Salaam. Natafuta kazi ya udereva kufanya kwenye kampuni yoyote au mtu binafsi. Nimefanya kazi hii na kampuni ya group six, emirates na nyengine nyingi. Kwa kirefu zaidi nime elezea kupitia CV yangu ipo hapo chini kwenye link Irshad Kusaka - Luis...
  19. JamiiForums Tanzania Ajira ya online: Unaweza kuandika Kiingereza, unayo laptop au computer na unayo access ya internet?

    Utangulizi Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku. Ajira Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaotafuta ajira kuweni makini na matapeli

    Habari wadau, kumeibuka utapeli unaowalenga wahitimu wa vyuo, hasa ukizingatia kipindi hiki kila mtu anatafuta ajira na zimekuwa ngumu kwelikweli, hivyo matapeli hawa wamekuja na njia ya kutangazia watu kuna nafasi za kazi mahali fulani na kutoa mawasiliano yao. Ukishawatafuta wanakuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…