ajira

  1. Sipendi niliowaajiri waendelee, yaani wafanikiwe na ku-move on. Napenda wabaki wanyonge hivyo hivyo

    Binadamu amezaliwa na evilness yaani tangu yumo tumboni mwa mama yake Nilikuwa nalaumu sana kwanini wafanyabiashara wakubwa wanakuwa makauzu sana au wana roho fulani hivi. well..hii tabia hujengwa kutokana na dissapointments wanazokutana nazo kutoka kwa watu waliowaajiri, tena sanasana ngozi...
  2. E

    Tafadhali ajira zetu sio njugu tunahitaji umakini kuzigawa

    Waziri mhagama amewaka kisa wageni kucheleweshewa vibali vya kazi, ni vyema akatueleza ni wageni wapi? wanafanya kampuni gani? ujuzi wao ukoje? sisi tumeshindwa hata kufunga gear box za udart, vijana wamekimbilia kwa wachina nako mnaleta wageni sasa wakafanyekazi wapi? hata huko jkt walikokuwa...
  3. Utaratibu upoje katika kutoa Ajira ndani ya halmashauri za miji?

    Najua humu jukwani kuna kila aina ya watu toka katika sekta zote, ninaamini hata hili nitajibiwa kikamilifu. Napenda kujua zile nafasi mbalimbali za vibarua zinazotangazwa na halmashauri za miji mfano kinondoni,tabora nk,hasa vibarua wanaopewa mashine kwa ajili ya ukusanyaji mapato kwenye...
  4. Jinsi kukosekana kwa ajira kunavyoharibu akili za Wahitimu

    Umetumia kama milioni 10 hivi ukiwa chuoni ukitegemea ipo siku utaajiriwa ila hadi sas hakuna dalili. Mbaya zaidi wale waliofurahia mikopo ya takribani milioni 12 hadi wamalize elimu zao kwa sasa wana madeni mazito maana kuna penati ya asilimia 10 na tozo ya asilimia 6 kila mwaka. Mttani...
  5. M

    Natafuta Ajira ya viwandani

    Habari za jioni wanajamvi, Nahitaji mchango wenu kwenye hili, Mimi ni mhitimu wa chuo kwenye course ya Bsc in industrial engineering management, natafuta kazi kitengo cha quality control. Ninamatumaini kutoka kwenu
  6. TAMISEMI: AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli

    DODOMA : AJIRA 6,000 bado, Achaneni na Matapeli Atley Kuni na Veronica Simba- TAMISEMI KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, ametegua kitendawili kuhusu ajira elfu sita za watumishi wa kada ya walimu kama ilivyoamriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  7. Nafasi za kazi/ajira kwa walimu kutoka taifa online school

    Job Summary We are looking for secondary school teachers, for arts and business studies Minimum Qualification: Bachelor Experience Level: NO EXPERIENCE. Job Description A full-time permanent Teacher position has become available on TAIFA ONLINE EXAM to start in JUNE 2020 at MBEYA TANZANIA...
  8. Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  9. Naomba ushauri wa namna ya kupata ajira jiji la Dar es Salaam

    Wakuu Kesho nataka Kuingia Mzigoni Kupita Ofisi Moja Moja Hapa Jijini Dar Kutafuta Ajira hata ya Muda Mfupi Ili niweze kusongesha Gurudumu La Maisha. Nimeona niandike Thread Hii kupata Ushauri Ofisi Gan Nizipe kipaumbele na Nisiziache Kwa wenye Uzoefu. Course: INFORMATION TECHNOLOGY...
  10. Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  11. Ajira TAMISEMi: Kwanini umri zaidi ya miaka 35 hawaruhusiwi?

    Tamisemi kushirikiana na Shirika la Benjamin William Mkapa wametangaza ajira za mda:sifa za muombaji asizidi miaka 35 ,je hawa wenye miaka 36 nakuendelea kuna sheria ipi inayofanya muwe na kigezo cha umri? Miaka 5 na miez 4 Watu wako mitaani sasa mnapokuja na kigezo cha umri mnamanisha nini?
  12. Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  13. J

    CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

    Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo. CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo. Chanzo: TBC
  14. Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

    Nawasalimu kwa JMT. Katika miaka 5 iliyopita hakuna rangi ambayo hatujaona. Ni kipindi wafanyabiashara walihama nchi. Kodi ilikusanywa kibabe na akaunti kufungwa. Kesi za kubambikiziwa uhujumu uchumi zilitamalaki. Wahitimu wa vyuo walisahau kabisa kuhusu ajira. Watumishi waliambia...
  15. Hata nje kuna uhaba wa ajira, tukomae hapahapa

  16. Angalizo kwa wanaotaka kuja kutafuta ajira Afrika Kusini

    Natumai wazima wote leo nilikuwa natamani tushee Jambo moja na watanzania wenzangu mnaohitaji kuja kutafuta ajira huku SA Ukweli ni kwamba ajira huenda zikawepo ila siyo kwa watanzania Huenda hujanielewa watanzania huku hatuaminiki, ni vigumu mtu kukuamini kukupa kazi wengi "wezi' hali...
  17. D

    Utumishi, Usahili wenu kufanyikia Dodoma, ni mzigo kwa waomba ajira. Wanatakiwa wawe na pesa ndefu ya kujikimu karibu laki tatu

    Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi. Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa. Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira. Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
  18. S

    Ajira mpya hakuna, halafu hela mnakula wenyewe, Good God will pay you

    Sisi wana wa maskini tuna miaka takribani 6 sasa mtaani bila ajira baada ya kuhitimu vyuo. Wanatwambia wanajenga uchumi imara kwanza ndipo watuajiri. Kumbe kujenga uchumi ndiko huku? Mamilioni kwa Mabilioni kwa matrilioni, wametafuna. Sisi tunateseka mtaani bila ajira,huku HESLB nao...
  19. TAMISEMI: Acheni kuajiri kimya kimya, mchakato wa ajira 6000 za walimu ufanyike kwa uwazi

    Hivi karibuni mmebuni utaratibu wa hovyo wa kuajiri walimu kimya kimya kupitia mawasiliano ya simu za mkononi. Huu utaratibu sio rafiki hasa katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia ambapo utapeli wa mitandaoni umeongezeka, hivyo matapeli wanaweza kutumia mwanya huo kutapeli watu...
  20. Maprofesa tai, wamiliki makaratasi ya mashahada, wasomi wasio na taaluma Vs ajira kwa wageni waliosoma kweli

    Ndugu Wana Jamii, Tumeanza kusoma hisia tofauti, za watu tunaoweza kuwahisi ni wapinga maendeleo au wanaotaka kujaza matumbo yao binafsi kwa kutumia madaraka walioaminiwa na jamii, juu ya kauli adhimu ya Mama Raisi wetu kuhusiana na muelekeo wa maendeleo ya Tz na maendeleo binafsi ya raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…