ajira

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ambavyo kilimo kinaweza kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini

    Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia hatua ya kusema ni bomu linalojiandaa kulipuka. Kwa vyovyote vile kuna haja ya kulipa kipaumbele suala...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ujamaa(ubuntu) na ajira ya muda ni mkombozi wa uchumi wa Vijana kuelekea kwenye uchumi wa Kitaifa na kujitegemea

    UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa kushirikiana katika kila jambo. Ninaye rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu kutokana na safari yangu...
  4. vnn

    JamiiForums Tanzania Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

    Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani! Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika! Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI! Hii mada haihusiani na...
  6. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Kulingana na itifaki ya sensa nawaza Je hili linasemaje maana kukaa bila ajira kwa kijana ni kulemaza uwezo wa kufikiri....

    Nipo mkoa wa kilimanjaro , kata niliyoombea nafasi ya ukarani wa sensa , yaani people zilikuwa ni 400+ plus sasa kwa idadi hiyo inanifikirisha kuwa nafasi ya kuchaguliwa ni finyu, mie na conclusion yangu hapa kuanzia jumatatu ntazunguka wilaya hizi za HAI na ROMBO , ili nika jaribu kuulizia...
  7. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Kuomba Ajira za Sensa Umetuonyesha kuwa bado Mifumo yetu ya ajira nchini ina changamoto kubwa sana

    Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile: (1) Kusahaulika kwa...
  8. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Watumishi kutemwa kwenye ajira za Sensa 2022 ni jambo la afya sana

    Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho. Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma , sekta binafsi ama uliye na biashara zako unang'ang'ana kuomba hizo ajira za muda mfupi (Siku 21 hadi 35)! Huna aibu? Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi...
  9. sepema

    JamiiForums Tanzania Mwenye ajira na asiye na ajira kwenye zoezi la Sensa 2022 - itumike haki au busara?

    Nisiku nyingine tena, Kuna walioamka na hasira huku wengine wakiamka na furaha. Ndio, nazungumzia watu waliokuwa kwenye foleni za usaili wa ajira za muda katika zoezi la sensa. Binafsi nilishiriki usaili huo Kama msailiwa niliyeomba moja Kati yanafasi zilizotangazwa. Wakati unasubiriwa muda...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kazi ya Sensa ulianza vizuri ila umeharibika kwa kila Halmashauri kutoa majina

    Maombi ya sensa yalianza vizuri ila mwishoni wameharibu, hakuna utaritibu wa kupata majina huku baadhi ya Halmashauri tayari zimetoa majina ila nyingine bado Kwanini NBS wasingetoa majina kwa ujumla mtandaoni Kila mwombaji akajiona kuliko sasa wanahangaika kupata majina na hakuna taarifa rasmi
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  13. Msanumbi

    JamiiForums Tanzania UBORA wa elimu na ajira

    Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati, Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma, Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...
  14. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kama huna cheti cha CO-19 ajira sensa sahau

    Ndo ipo ivoo kwasababu 1.utakutana na watu wengi Uzi tayari
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:- Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10 Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa Wengi watakula keki ya taifa Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi Uchumi utakuwa kwa kasi n.k Watu waajiriwe...
  16. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  17. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kinara wa kuzalisha ajira Tanzania

    No Joke- Rais Samia Ametengeneza ajira nyingi zaidi ndani ya kipindi cha miezi 18 kuliko Marais wa Tatu waliopita Tanzania. Amerejesha asilimia 90 ya kazi zilizopotea chini ya janga la Corona. Amepandisha madaraja na mishahara kwa Watumishi wa Sekta ya Umma kwa asilimia 23 jambo ambalo...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwaongezea gharama waombaji wa ajira bila sababu za msingi

    UMUOFIA KWENU WAUNGWANA! Kwanza niwapongeze waliopata ajira nasema Hongereni! Na mliokosa ajira poleni sana lakini tambueni kuwa Mungu yupo pamoja na nyinyi!! MSIKATE TAMAA. WITO WANGU KWA SERIKALI ,Nafasi nyingi zimehamishiwa Halmashauri ambapo watu wanaomba moja kwa moja. Kumejitokeza...
  20. Collins george

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira

    Habari wana member wa Jamii forum..kwa majina naitwa Collins George kutokea dar-es-salaam nimemaliza chuo mwez huu wa 7 nikisomea Bachelor in Information Technology (BIT). Sijawa muhitim complete kwa kua nasubili matokeo yangu ya mwisho ili nipokee chety...kwa kipindi ichi nnachosubil kupokea...
Back
Top Bottom