Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

Sisemi kwa ubaya ila muache kusomea ualimu kwa sababu nafasi Sana Sana zinatolewa serikalini na waliosoma ualimu Ni wengi mno

Kijana aliyesoma let's say Business administration, public relations nk aliye mtaani Ana chance kubwa ya ajira kuliko wa Education
 
Sisemi kwa ubaya ila muache kusomea ualimu kwa sababu nafasi Sana Sana zinatolewa serikalini .na waliosoma ualimu Ni wengi mno

Mzee kikwete aliwalemaza akili katika awamu yake,Ualimu ndio ilikuwa ajira yake kuu
 
Sisemi kwa ubaya ila muache kusomea ualimu kwa sababu nafasi Sana Sana zinatolewa serikalini .na waliosoma ualimu Ni wengi mno
Kijana aliyesoma let's say Business administration, public relations nk aliye mtaani Ana chance kubwa ya ajira kuliko wa Education
Hivi ni ule ule ualimu ambao watu wakipangiwa kwenda kusoma hapo zamani walikuwa wanapiga makelele kwa huzuni na kujiapiza kuwa hataenda ng'o? Ni ule ule ualimu ambao walikuwa wanachukuwa mpaka darasa la saba kwenda kusomea wakiita UPE na kitaani Ualimu Pasipo Elimu? Ni hii hii kazi iliyokuwa inadharaulika na kila mtu na ukipita sehemu kama wewe ni mwalimu unaona aibu? Kweli maisha yanabadilika!
 
Mabadiliko Ni lazima kwny Maisha,hata zamani ilikua unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(Bikini).
 
Hivi ni ule ule ualimu ambao watu wakipangiwa kwenda kusoma hapo zamani walikuwa wanapiga makelele kwa huzuni na kujiapiza kuwa hataenda ng'o? Ni ule ule ualimu ambao walikuwa wanachukuwa mpaka darasa la saba kwenda kusomea wakiita UPE na kitaani Ualimu Pasipo Elimu? Ni hii hii kazi iliyokuwa inadharaulika na kila mtu na ukipita sehemu kama wewe ni mwalimu unaona aibu? Kweli maisha yanabadilika!
Ni huo huo Mkuu,
 
hali ni mbaya sijaonahata mmoja nnaye mfahamu
IMG_20220626_154911.jpg
 
Back
Top Bottom