Tamisemi ongezeni Project Management Professional (PMP) kwenye Ajira Portal

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,540
Kwenu tamisemi

Nawaomba muongeze hii certification kwenye portal yenu na iwe muhimu/lazima mnapotaka kuajiri watu wanaoenda kusimamia miradi.

Hii certificate inatolewa na Project Management Institute (PMI) ya Marekani kama standard ya dunia nzima kwenye usimamizi wa miradi.

Itaongeza sana tija katika usimamizi wa miradi ya serikali.
 
Kama Course in yrs au zile miez 3 or 6 tu?
Ile inataka angalau masaa 35 ya darasani halafu baada ya hapo unasoma mwenyewe kisha unakuja kufanya mtihani. Ukifaulu unakuwa certified professional project manager na unapata hiyo PMP.
 
Back
Top Bottom