Ajira port lakini kila nikiomba naambiwa failed

Rose73

New Member
Jun 25, 2022
1
1
AJIRA PORTAL NINA ACADEMIC QUALIFICATIONS ZINAZOKIZI LAKINI KILA NIKI APPLY NAAMBIWA FAILED?

Mwenye uzoefu naomba anisaidie Kama Ni professional qualifications pia naomba kujua kwa watu wa education KIPENGELE Cha professional qualifications inatakiwa kujaza vitu gani

Attachments

  • Screen_Capture_Img_499.jpg
    Screen_Capture_Img_499.jpg
    24.2 KB · Views: 21
  • Screen_Capture_Img_1547.jpg
    Screen_Capture_Img_1547.jpg
    27.4 KB · Views: 23
  • Screen_Capture_Img_1256.jpg
    Screen_Capture_Img_1256.jpg
    33.4 KB · Views: 18
Kwa siku zinaanzishwa nyuzi 3 za kuilaumu Ajira portal na kla cku tunawaambia mfumo huo umewekwa kuwachinja watoto wa kimaskini, hamtakiwi kwenye mfumo wa ajira, mnatakiwa mkajiajiri,
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.Ila kwa taarifa kuhusu hiyo changamoto ni wengi wamepata hasa wa chuo cha UDOM,UDSM,Bagamoyo na kwingineko.Ila uzuri ni kwamba wahusika wa vyuo hivyo wamesharipoti PSRS.Kwa hiyo tuendelee kusubiri walishughulikie.Ama kama upo DSm au Dodoma waweeza kwenda na Kuwaeleza pia kwa msisitizo au waweza piga Ile namba ya malalamiko.Ila ni kwamba washapokea taarifa hizo.
 
Ajira portal haina tatizo hata chembe. Ukiona neno application failed usiishambulie ajira portal kwa hoja zisizo na miguu bali chunguza attached qualifications zako zinaendana na advertising qualifications? Unakuta mtu ana Degree ya afya ila anaomba kazi inayohitaji ICT services, it will fail. Unaomba kazi ya degree demand angali ww una diploma ya hiyo professional required it will fail. Fanya applications on basis of level ya education yako ndugu. Ukiwa na degree na ukaomba kazi inayohitaji diploma it's going to fail
 
Acha uongo. Huenda una ongelea zamani Kabla ya maboresho ya mfumo. Zamani mfumo ulikuwa mzr tu.

Mfano: Nafasi ya master degree in Finance.

Ukiomba ww mwenye Bachelor Degree in Accounting & Finance. Na pia una MBA Finance, mfumo wa sasa una kataa hata uwe na GPA za Aje. Maboresho mapya yame haribu mfumo wote.
 
Pole sana kwa changamoto hiyo.Ila kwa taarifa kuhusu hiyo changamoto ni wengi wamepata hasa wa chuo cha UDOM,UDSM,Bagamoyo na kwingineko.Ila uzuri ni kwamba wahusika wa vyuo hivyo wamesharipoti PSRS.Kwa hiyo tuendelee kusubiri walishughulikie.Ama kama upo DSm au Dodoma waweeza kwenda na Kuwaeleza pia kwa msisitizo au waweza piga Ile namba ya malalamiko.Ila ni kwamba washapokea taarifa hizo.
Hivi tume bado wanaofisi Dar? Iko palepale Maktaba?
 
Ajira portal haina tatizo hata chembe. Ukiona neno application failed usiishambulie ajira portal kwa hoja zisizo na miguu bali chunguza attached qualifications zako zinaendana na advertising qualifications? Unakuta mtu ana Degree ya afya ila anaomba kazi inayohitaji ICT services, it will fail. Unaomba kazi ya degree demand angali ww una diploma ya hiyo professional required it will fail. Fanya applications on basis of level ya education yako ndugu. Ukiwa na degree na ukaomba kazi inayohitaji diploma it's going to fail
Brother you need to have a fact and proof bro..ila una fact tu kama system ilivyo too optmistic..binafsi ninabachelor of edtcation in policy planning and management from udom..kuanzia assistannt tutor warden admission officer mpaka examination officer zinanigome and i have all the qualification they need from gpa's to axademic qualification ila inagoma..help desk doesnt help..naendelea kuuza juice za miwa tu mtaani maana naona its impossible ku apply sijui kupata itakuaje
 
Back
Top Bottom