ajira

  1. JamiiForums Tanzania UPENDELEO: Ajira Vyuo Vikuu

    Inasikitisha kwa taasisi Kama vyuo Vikuu kuajiri kwa vigezo vya ukabila na kujuana. Mchezo unaanza kwa ku-shortlist mtu mmoja kwenye nafasi moja halafu eti unamuita kufanya interview?
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa ajira

    Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya kujitolea nitashukuru .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  5. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    Hello habari za majukumu! Niliajiriwa serikalini (kama mwalimu)miaka miwili iliyopita lakini baada ya miezi 6 nikaacha kazi si kwa kupenda ila kutokana na mazingira magumu ya kazi na kujikuta mshahara wote unaishia kwenye pango la nyumba, nauli ya kwenda na kurudi kazini. Maana shule haikuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua viwanda vinavotoa ajira kwa Dar na Pwani?

    Jamani kama mnavojua vijana wengi hawana ajira. Kwahiyo mwenye kujua kiwanda kinachotoa ajira kwa Dar na Pwani naombeni msaada
  7. JamiiForums Tanzania Ajira portsl msaada

    Naombeni msaada nikitaka kufu My academic qualifications ajira portal nafutaje???
  8. JamiiForums Tanzania Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

    Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi. Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
  9. JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Nadhani kila moja wetu anafahmu kuwa hali ya maisha now imekuwa ngumu hususani kwenye swala zima la kipato na matumizi yapo juu sana. mpaka inapelekea maisha yanakuwa magumu sana, kila mtaa utakao pita utakuna na bodaboda. Siyo kazi mbaya ila ndio kazi ambayo vijana wengi wanaweza kuifanya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

    Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili. Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly. Kwanini sehemu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

    Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi. Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa kweli: Jinsi mdudu mchwa alivyobadirisha maisha ya watu kimaendeleo na kutoa ajira kwa vijana

    Wana JF. Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori. Kwanini mchwa ndio chanzo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya wasio na ajira rasmi

    Ndugu wanaJF Nimeona nishirikishe wasio na ajira rasmi kazi nitakayoieleza kwa mapana katika uzi huu (kwa vitendo kuanzia ufanyaji wa hali ya chini (kiwango duni) hadi kiwango cha juu) huku tukisubiri mirija ya asali (kazi tulizoomba) ifunguke. Ndugu wanaJF Natambua kuna fursa nyingi sana...
  15. JamiiForums Tanzania Ukimya wa PSRS

    Mimi kama watu wengine wengi tunaotafuta ajira serikalini, niliomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi MAY. Jambo la kushangaza ni kwamba miezi mitano inaenda kuisha bila kuitwa kwenye usaili na wakati huo nafasi zilizotangazwa mwezi August nyingine September watu wameitwa kwenye usaili tayari...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Balozi Jabir: Watanzania 900 wapata ajira Saudi Arabia

    Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda kufanya kazi nchini Saudi Arabia kupitia utaratibu rasmi. Haya ni matuna ya diplomasia iliyojengwa na Rais Samia Suluhu.
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  18. JamiiForums Tanzania Tume ya Ajira, mbona interview za UDOM hamjatoa tangazo kwa website ya PSRS kama zilivyo nyingine?

    kama ilivo kawaida nilitegemea shortlisted candidates wa nafasi za kazi UDOM iwekwe kwa website ya PSRS . au kuna exceptions UDOM? watu wamepigiwa simu kwenda interview nini agenda ya siri hapo?
  19. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira

    Habari, Nipo chuo mwaka wa pili. Ninauhitaji wa ajira ambayo nitaweza kufanya kuanzia asubuhi hadi saa kumi jioni, ili niweze kuendelea na masomo yangu kuanzia saa 11 jioni. Umri: 21 Course: Marketing management Level: Degree Mahali: Ilala, Dar es salaam.
  20. JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya cha kuunganisha magari Kimefanikiwa kutoa ajira mpya 3000

    Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…