ajira

  1. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko hili, Bodaboda mnawaibia waajiri wenu

    Rasmi tena bila kupepesa macho Bodaboda nchi nzima kupitia wawakilishi wenu mmeutangazia Umma wa Watanzania kwamba katika shughuli zenu mpya za "Uafisa usafirishaji" mnapata Tshs. 800,000+ kwa mwezi. Hii ni wastani wa 200,000 kwa kila wiki. Hapa Mafinga nilipo nawajua wamiliki wengi wa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Hata wanaotengeneza hizo boda boda hawafanyi kama ajira

    Bongo nyoso, yaani hili swala nyuma yake kuna vigogo wanaouza hizo boda boda ndio maana wanakingia kifua kulinda biashara zao. Boda boda ina risk kubwa sana. Serikari isikwepe jambo hapa. Hakuna ajira hapa
  3. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Je, Kituo chako Cha Ajira Kiko Wilaya gani Tanzania, unadhani ni sehemu yenye 'Future' kwako au unatamani kuhamia Mkoa tofauti- Utaje

    Binafsi, Niko Kilimanjaro kikazi lakini hata ikitokea napata uhamisho usiku wa manane nasepa. Kilimanjaro nadhani ni Mkoa wa wastaafu na siyo sehemu ya utafutaji. Na maisha ya huku ni tofauti sana. NI mkoa mdogo sana. Ni mkoa wenye idadi ndogo sana ya watu, mostly wazee. Ni mkoa wenye Ardhi...
  4. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  5. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Ajira kiwandani mkoa wa Pwani

    Hallow hallow Mambo vipi wadau wa JF hope mko poa ok baada ya kushusha thread hii👇👇...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi hadi iwe na sifa kuwa ni ajira inatakiwa kumuingizia mtu Tsh ngapi kwa mwezi?

    Wakuu hivi mtu hadi tuseme huyu ana ajira anatakiwa kuingiza Tsh ngapi kwa mwezi?
  7. Mirror 14

    JamiiForums Tanzania Kisa kukosa license kunavyofanya nikose ajira kwenye taasisi

    Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina elimu ya sekondari kidato cha nne Nilihitimu 2017 lakini sikubahatika kuendelea na elimu ya advance, mimi ni mkubwa kwenye familia ya watoto wanne Dhumni la kuja kwenu, ninaomba mwenye uwezo wa kunichangia japo chochote ili niweze jiendeleza...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kijana ambaye upo chini ya miaka 25 , wekeza kwenye kujenga brand ya jina lako. Ajira zipo ukiwa na jina kubwa

    Habari kijana under 25. Kama bado upo Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea. Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani. Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao...
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inatuandaa kuendana na kasi ya Teknolojia?

    Teknolojia inaendelea kupenya katika nyanja mbalimbali za Maisha yetu, ikiwemo Ajira. Umuhimu wa Ujuzi wa Kidigitali unaendelea kujidhihirisha katika Soko la Ajira na hata kwa wanaojiajiri. Mfumo wetu wa Elimu unatuandaa kuendana na kasi ya Mabadiliko ya Teknolojia?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tuache kudanganyana, Ajira zina afadhali zaidi kuliko kujiajiri, watu wengi waliojiajiri ndio wapo kwenye utumwa

    Najua kwa haraka haraka mtafikiria kunijibu kwamba "Mwajiri hawezi fikia mafanikio ya Mo ai Bakhresa" ....vuta pumzi tulia!! Hao kina Mo watoe akilini mwako maana wapo kundi tofauti kabisa ni wafanyabiashara waliofikia mafanikio ya biashara zao kujiendesha hata wakiwa wamelala. Mtu mwenye ajira...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ni nyingi ajira ni chache au "vice versa"?

    Kazi unayofanya sasa hivi uliiisomea? Au ajira yako ya sasa inaendana na ulichosomea? Wale mnaofanya kazi ambazo hamjasomea na life linasonga tu basi tumia uzi huu kuwapa vijana tips na moyo kwasababu kuna wimbi la depresssion sasa hivi. Nb: Ndugu zangu wenye degree fanya chochote cha...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  14. Frank Hood

    JamiiForums Tanzania Hamna namna mbadala ya kuomba ajira Seriaklini bila kupitia ajira portal?

    Naomba nijue, naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za Serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz). Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya internet wanafanya vipi kupata hzo ajira? Maana hawatoi alternative way ya kutuma maombi zaidi ya kupitia...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana

    Serikali ya Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Kilimo imesema imekusudia kutoa ajira Milioni 3 Kwa vijana na wanawake kupitia Programu ya (Building Better Tomorrow) kwa kushiriki Kilimo biashara kupitia mashamba ya pamoja (block farms). WAZIRI wa Kilimo Husein Bashe, ametangaza majina ya...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ajira za ulinzi wanataka waliopita JKT pekee

    Wakuu habar za mda? Hvi ni kwanini ajira nyingi za vyombo vya ulinzi wanahitaji watu waliopita JKT na JKU (kwa Zanzibar)? MTaani wapo vijana wengi waliosoma na hata ambao hawana elimu ambao hawakubahatika kupita jkt&jku kwa sababu tofauti tofauti, na wana penda kujiunga na vyombo vya ulinzi na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  19. Kiufagio

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ajira yoyote Halali, Dar.

    .
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Siasa za kujaza matumbo zinawasumbua CHADEMA mnawaza kurudi Bungeni maana mlishageuza ajira

    Kufanya siasa ni ajira ni jambo baya sana. Maana apo mtu atawaza tumbo lake kuliko kutumikia wananchi. Baada ya kukataliwa 2020 na kukosa ubunge sasa wanaChadema hesabu zao ni kurudi bungeni ili wapate posho na mishahara maana wao wanawaza kupata pesa tu na sio kutumikia wananchi
Back
Top Bottom