ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. Zambia: Watu 21 wafa kwa ajali za Barabarani kipindi cha Krismasi

    Watu wapatao 21 wamepoteza maisha na wengine 22 kujeruhiwa kutokana na ajali za barabara nchini Zambia katika kipindi cha Krismasi mwaka huu. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa naibu wa polisi nchini humo Rae Hamoonga aliyoitoa hapo jana mbele ya wanahabari. Kwa mujibu wa Rae, idadi ya...
  2. M

    Kwa huduma za Mafunzo ya udereva wa awali karibu sana Home of Excellence Driving School

    UDEREVA WA KUJIHAMI KUTOKA HOME OF EXCELLENCE DRIVING SCHOOL Imeandikwa na Mr. Manala Tabu Mbumba, Mhadhiri Msaidizi na Mshauri wa Magari-Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) Home of Excellence Driving School inatoa huduma bora kabisa za udereva pamoja na kusaidia upatikanaji wa leseni kwa...
  3. Ajali ya ndege Marekani yaua watu 9

    Watu 9 wakiwemo watoto 2 wamefariki katika ajali ya ndege ndogo iliyotokea katika jimbo la Dakota ya kusini nchini Marekani. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya Marekani, ndege moja ndogo ilianguka muda mfupi baada ya kuruka. Tukio hilo lilitokea katika mji wa Chamberlain...
  4. Watu wanne wa familia moja wafariki katika ajali ya moto nyumbani kwao

    Wakazi wa Makueni Bi Regina Mueni 49, binti yake Faith Mangeli na wajukuu zake Angel Masava na Amelina Masava wafariki kutokana na ajali ya moto iliyoikumba nyumba yao iliyopo maeneo ya soko la Nyunzu maeneo ya Makueni. Katika tukio hilo Mama yake Mueni aliyetambulika kwa jina la Monica...
  5. Pichani ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili walivaa nguo fupi na kupita barabarani walisababisha ajali

    Pichan ni mwaka 1937. kwa mara ya kwanza wanawake wawili walivaa nguo fupi na kupita barabarani waliteka akili za wanaume wengi na kusababisha kutokea kwa ajali nyingi harabarani
  6. Bangladesh: Watu wapatao 15 wafariki na wengine 58 kujeruhiwa katika ajali ya treni katika Mji wa Dhaka

    imeripotiwa kuwa takribani watu 15 wamefariki na wengine 58 wamejeruhiwa baada ya Treni mbili za abiria kugongana katika Wilaya ya Brahmnbaria Mashariki mwa Bangladesh Jumanne hii. inaelezwa kuwa majeruhi wa ajali hiyo wamefikishwa katika hospitali tofauti tofauti zilizopo katika Mji huo...
  7. Tetesi: Walioigiza mazishi ya CHADEMA wafa kwa ajali

    Taarifa kutoka mkoani Songwe zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Maporomoko, na kiongozi wa Green guard wilaya ya Momba wamefariki kwa ajali baada ya kugongwa na gari wakiwa kwenye pikipiki, ikiwa ni miezi miwili tu tangu waliposhiriki igizo la kuizika Chadema kwenye jeneza na kuweka...
  8. Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea DSM, limepataa ajali maeneo ya Kitonga leo

    Basi la kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa safarini kutoka Kyela kuelekea DSM, limepataa ajali maeneo ya Kitonga leo, Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo, RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani. Updates...
  9. KENYA: Watu watano wafariki kwa ajali ya gari wakiwa wanaelekea kwenye mazishi

    Watu watano wakiwamo wanawake wanne na mtoto mmoja wameripotiwa kufariki kwa ajali ya gari wakati wakiwa wanaelekea kwenye mazishi. Ajali hiyo ilihusisha Malori mawili pamoja na gari dogo aina ya Saloon. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Murula yaliyopo katika njia panda ya Naivasha nchini Kenya...
  10. Maafa ya mafuriko Tanga yaliyoacha maumivu yenye makovu ya milele

    Kama unafikiri unapitia mitihani migumu na mapito magumu sana hapa duniani basi vaa viatu vya mtoto huyu umshukuru Mungu kwa hapo ulipo na usonge mbele. Jumamosi iliyopita ilikuwa graduation yake ya form 4 na wazazi wake baba, mama, dada zake wawili na mdogo wao mchanga walikuwa kwenye gari yao...
  11. Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
  12. Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

    Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua" Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa...
  13. G

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi...
  14. Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha...
  15. Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Hivi karibuni na hata siku za nyuma tumeshuhudia malumbano kati ya wamiliki wa mabasi ya abiria kwa upande mmoja na serikali (Polisi, Sumatra) kwa upande mwingine juu ya ulazima wa kufunga vidhibiti mwendo (Speed Governor) kwenye mabasi. Wamiliki wa mabasi wanasema speed governor hazijasaidia...
  16. K

    Ajali ya MV Bukoba: Makosa yamerekebishwa?

    "MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between Bukoba and Mwanza ports. The steamer's capacity was 430, but around 800 people drowned as the boat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…