Bangladesh: Watu wapatao 15 wafariki na wengine 58 kujeruhiwa katika ajali ya treni katika Mji wa Dhaka

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,763
4,313
imeripotiwa kuwa takribani watu 15 wamefariki na wengine 58 wamejeruhiwa baada ya Treni mbili za abiria kugongana katika Wilaya ya Brahmnbaria Mashariki mwa Bangladesh Jumanne hii.

inaelezwa kuwa majeruhi wa ajali hiyo wamefikishwa katika hospitali tofauti tofauti zilizopo katika Mji huo. Aidha, wameongeza kuwa idadi ya watu waliofariki inaweza kuongezeka kutokana na baadhi ya watu kunasa katika viti vya treni hizo zilizopata ajali.

Kwa upande mwingine, usafiri wa treni katika Mji wa Dhaka, Sylhet na Chittagang umesimamishwa kwa muda ili kupisha zoezi la ukoaji kuendelea.

Kutokana na tukio hilo, Rais wa Bangladesh Bw. Abdul Hamid na Waziri Mkuu Sheikh Hasima wameelezea masikitiko yao kufuaia tukio hilo.

treni.jpg


Zaidi soma:

At least 15 people were killed and 58 others injured when two trains collided in Brahmanbaria district in eastern Bangladesh early on Tuesday, police said.

Three coaches were sent tumbling off the tracks at Mondolbhag station in the town of Kasba when a Dhaka-bound intercity train and a locomotive bound for Chittagong collided.

"At least 15 people have been killed. And another 58 were injured. We have sent the injured to different hospitals in the region," local police chief Anisur Rahman told AFP news agency.

Rahman told Anadolu Agency that the death toll may rise as some passengers were still reportedly trapped under the affected coaches.

Train services between the capital Dhaka and two other important cities - Sylhet and Chittagong - has been suspended.

The circumstances surrounding the accident were under investigation, a railway official told reporters.

"We are still conducting a rescue operation," he said, adding that faulty signalling could have been to blame.

Bangladesh President Abdul Hamid and Prime Minister Sheikh Hasina expressed their condolences over the deaths.

Train accidents are common in Bangladesh and are often caused by poor signalling or other rundown infrastructure.

Chanzo: Aljazeera
 
Hawa watu wanakufa bhana, au kuna wahuni walikua wanapika humo na mtungi wa gesi maana wao nao wanajitoa sana akili.
Mungu azilaze mahala pema roho za ndugu zetu waliotangulia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom