ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali yaua watu watatu na kujeruhi 36 Tanga

    Watu watatu wamefariki dunia kwenye ajali iliyohusisha Lori lililobeba wafanyabiashara waliokuwa safarini kwenda Handeni mkoani Tanga kwa ajili ya mnada. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Handeni, Dr. Hudi Shehdadi amethibitisha kupokea miili ya watu watatu na majeruhi 36 huku akieleza majeruhi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ajali Barabarani: Tuzijue sababu, kuepuka upotoshwaji

    Ajali barabarani ni janga kubwa lenye kuhitaji ufumbuzi sahihi. Ajali zinaleta vifo, majeruhi, umasikini, hasara, na vyote vyenye kuambatana na hayo. Ni ukweli usiopingika kuwa ajali zinasababishwa na haya: 1) ujinga - mwendo kasi wa kizembe, ulevi, fujo, utoto, nk barabarani yakiwamo...
  3. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida. Chanzo cha ajali ni mwendo kasi. Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee. ======== Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ajali yaua watu 7 wakienda kusherehekea ushindi wa Mbunge

    Watu saba wamefariki na wengine saba kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali eneo la Longeld, Samburu Mashariki. Watu zaidi ya 15 walikuwa wanaenda kukutana na Mbunge mteule wa Leerata kabla ya gari kukosa mwelekeo na kupinduka karibu na Hifadhi ya Kalama na kuua...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  6. Mama Debora

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Traffic Police wa Tanzania wanasababisha ajali kuliko kupunguza

    Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu. 1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
  8. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 70% ya wagonjwa wa ajali za barabarani waliopo MOI (Muhimbili) chanzo ni bodaboda

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi watano wa shule nyingine walipewa lifti katika basi la shule lililopata ajali Mtwara

    GARI ya Shule ya King David lililopata ajali jana eneo la Mjimwema, manispaa ya Mtwara Mikindani, mkoani Mtwara na kuua watu 13, lilikuwa pia likiwapa lifti wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mikindani. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shule ya Mikindani, Jacob Godfrey, aliyeeleza kuwa katika ajali...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kawaida yetu 'Waswaholi' Ajali ya Mtwara imeua Wengi, ila sasa Wote tuko tu kwa Mzazi aliyepoteza Watoto wake Wawili

    Niendelee kutoa Pole zangu za dhati kabisa kwa Familia zilizopoteza Wapendwa wao na kwa wale waliopatwa na Majeraha nawaombeni kwa Mwenyezi Mungu awaponye upesi na huko mnakotibiwa mpate Tiba stahiki. Huu Msiba ni wa Jumla na hata tukiwa tunauongelea basi tuuongelee Kiujumla jumla na siyo kama...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua wanafunzi Mtwara, Haice ilikuwa na watu 30. Haice inaruhusiwa kubeba abiria wangapi?

    RTO Mtwara watanzania wanasubiri majibu ya swali hili.
  13. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

    Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60) Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Alinizungusha miaka mitatu nikajifanya nimepata ajali mbaya sana alipokuja kuniona tu nikamla

    Kuna mrembo alinizungusha miaka mitatu. Sms anajibu, story kwenye simu poa, kukutana maeneo tunakutana ila home hataki kuja. Gheto langu ningeliita tu kwa Mkapa maana ukiingia hutoki. Kuna basi la xxxxx liliwahi kupinduka na kuua watu kibao na majeruhi pia, nikamfata mshkaji wangu anafanya...
  15. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

    Wanabodi Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital. Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC Makalla apokea Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma 161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali kutoka Ujerumani

    RC MAKALLA APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA KUTOKA UJERUMANI. - Ni Vitanda 108, Meza 38 na Vyuma161 kwaajili ya majeruhi wa Ajali. - Avigawanya kwa kila Halmashauri ya Mkoa. - Ampongeza Rais Samia kwa kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Tanzania na Ujerumani. Mkuu wa Mkoa wa...
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Basi la Happy Nation lapata ajali kwa kugongana na lori uso kwa uso

    Updates soon! Abiria 41 waliokuwa wakisafiri na basi la Happy Nation wakitokea Dar es Salaam kuelekea Mwanza, wamenusurika katika ajali baada ya basi lao kugongana uso kwa uso na lori aina ya Scania katika eneo la Mkambarani, mkoani Morogoro.
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watu 20 wa Ukoo mmoja wafariki kwa ajali ya Mashua Pakistan

    Miili 20 imeopolewa na na takriban watu 30 hawajulikani walipo baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 100 wa ukoo mmoja kupinduka kwenye mto katikati mwa Pakistan. Boti hiyo iliyojaa mizigo ilikuwa ikielekea katika harusi ya kifamilia ilipopinduka katika Mto Indus katika wilaya ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania LATRA yapiga Stop usafirishaji kwa kutumia magari madogo kuepuka ajali za kila siku

    RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo. Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
Back
Top Bottom