Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi

Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.

Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.

Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.

Mawili kati ya magari manne yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.

Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.

Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
 
Wanabodi

Kumetokea ajali mbaya ya magari matatu na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.

Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda, ikaikwepa kwa kuipiga ubavuni na katika kukwepa, ikaiparamia gari ya kwanza, ikaipiga pasi ya haja, ikaigonga gari gari ya pili na kutua uso kwa uso na gari ya tatu ikafunua bonnet!.

Mwenye Bodaboda akatupwa mtaroni, na kuparamia magari mengine mawili na kulivaa uso kwa uso gari la 3!.

Mawili kati ya magari matatu yaliyoparamiwa, yanaendeshwa na madeva wadada, mmoja anayeendesha Subaru Impreza mpya, anawaka Balaa!.

Kilichosabisha congestion ya ajabu sio hayo magari manne yaliyogongana bali break down 4 zinazogombania tenda ya kuyavuta!. Magari yote 4 yanaweza kutembea hivyo sijui hizi break down zinazotuzibia njia zinagombea tenda gani!.
Paskali

Thanks God, there is neither casualties nor fatalities!.
Mungu ni mwema!.
Paskali.
Nimefurahi na kurukaruka na kupiga vigelegele hamna vifo wala majeruhi.
 
Poleni sana wahanga wa ajali. Kama mtapita kwenye uhu uzi msisite kunitafuta kwa mahitaji ya spare parts. Tena iyo subaru nina nose cut kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom