Aina za ma Ex

Man Rody

JF-Expert Member
Aug 4, 2022
1,273
2,943
Wakuu bila kuzunguka mbuyu wengi wetu tuna ma ex kabla ya kumpata yule ulieamua kuanzisha nae familia yani mke/mume, na kama hujaoa/olewa hii ni yako pia... hatuwatengi ma bachelor na single Madam zetu :D! Sasa bas hawa ma ex leo nawaweka categories 3 ambazo wote tunaweza kua familiar nazo.

1. Ex asieachika, huyu hata utukane, upige, uoneshe dharau zote hata unaweza nyandua manzi hapo mbele yake na still asikuache na wengine hata ukioa/olewa bado hakati tamaa na wewe na ukipiga simu moja tu huyu hapa.

2. Ex kisirani.. paka na panya, ukisikia turudiane au bora kufa, BORA KUFAAA ndio huyu yaani hata ukitajwa jina lako mbele yake anahisi kutapika. Ni mtu kakuchukia kupita kiasi ata akisikia umefungwa au kufa utajijua mwenyewe.

3. Ex mzazi mwenza, hapa kuna vituko sana wachache wamefaulu kuweka tofauti zao pembeni kwa malezi ya mtoto wengine wana miaka na miaka bila mawasiliano.

Hakuna mtoto mdogo humu asie na Ex, vipi uzoefu wako katika safari yako ya mapenzi na je yapi madhara ya kuoa/kuolewa na mtu mwenye Ex mwenye sifa mojawapo tajwa apo juu 👆 au ongeza aina ya Ex ambayo sijataja.

Swali la nyongeza hivi unajisikiaje Ex wako kutoboa kimaisha mfano miaka 5+ mmeachana na mtu then mnakutana mwenzio yuko mbali sana kimaisha, sema ukweli utafurahia hatua zake au utajihisi inferior?
 
Najibu swali la nyongeza. Nitajisikia vizuri maana sina ex nilieachana nae vibaya..better me. Ni vile niliona hatuendani katika mitazamo, mawazo,tabia zetu...ukishamfahamu mtu kwa muda unajua tu hapa ndipo na hapa sipo. So wote kwa hekima niliwaambia tu ukweli ama nao walijikataa kitaratibu.

Sijawahi kuwachukia hata mmoja wao zaidi hata nisikie wameoa na wana mafanikio nitawafurahia. Ex sio uadui, ex ni mtu ambae hakupangwa kuwa nawe in this life maybe the after life huko. Na ikitokea nimealikwa harusi natia timu kwa moyo mweupe. Sote ni watoto wa Mungu..no time for hate or resentment..life is too short to hate people. Shout out to all my exes. One love y'all...
 
Roho Safi kabisa no resentment 👍
 
Namba moja kama Ex wangu ameolewa lakini nikipiga simu moja tu huy hapa nambebaga safar zangu za kikazi maana yeye ni muajiriwa Halmashaur fulani mkoan dodoma uwa anamuaga mme wake naenda kwenye semina bas namla sana na mimba zangu ametoa nying sana.
 
Ex mzazi mwenza Jana kanilaani vibaya kuwa nisahau kuhusu yeye na mtoto tuliyempata.Kisa na mkasa ni Ada ya mtoto. Mimi nimemwambia kuwa now mambo yangu sio mazuri kabisa so hata hiyo ada nitamdanganya kuipata make niko na majanga yangu kibao. Basi nimepewa laana balaa. Sasa nikajiuliza Mimi ndio nilimsomesha yeye ili aje apate kazi na mwenyezi mungu kamjalia kapata kazi na kaolewa na mtu mwingine nami nilibless. Sasa kama ningekuwa simjali ningekubali kumlipia ada na matumizi yake yote?. Nimebaki nimechoka akili wallahi.
 
Ex mzazi mwenza Jana kanilaani vibaya kuwa nisahau kuhusu yeye na mtoto tuliyempata.Kisa na mkasa ni Ada ya mtoto.Mi nimemwambia kuwa now mambo yangu sio mazuri kabisa so hata hiyo ada nitamdanganya kuipata make nko na majanga yangu kibao.Basi nimrpewa laana balaa,Sasa nikajiuliza Mimi ndo nilimsomesha yeye ili aje apate kazi na mwenyezi mungu kamjalia kapata kazi na kaolewa na mtu mwingine nami nilibless.Sasa kama ningekuwa simjali ningekubali kumlipia ada na matumizi yake yote?.Nimebaki nimechoka akili wallahi.
ni hasira tu, wee ukipata hela unatuma kimya kimya utaskia "mwanao kakumiss"
 
Wakuu bila kuzunguka mbuyu wengi wetu tuna ma ex kabla ya kumpata yule ulieamua kuanzisha nae familia yani mke/mume...na kama hujaoa/olewa hii ni yako pia... hatuwatengi ma bachelor na single Madam zetu :D! Sasa bas hawa ma ex leo nawaweka categories 3 ambazo wote tunaweza kua familiar nazo.

1. Ex asieachika, huyu ata utukane, upige, uoneshe dharau zote ata unaweza nyandua manzi apo mbele yake na still asikuache na wengine hata ukioa/olewa bado hakati tamaa na wewe na ukipiga simu moja tu huyu hapa.

2. Ex kisirani.. paka na panya, ukisikia turudiane au bora kufa,, BORA KUFAAA ndo huyu yan hata ukitajwa jina lako mbele yake anahisi kutapika. Ni mtu kakuchukia kupita kiasi ata akisikia umefungwa au kufa utajijua mwenyewe.

3. Ex mzazi mwenza, apa kuna vituko sana wachache wamefaulu kuweka tofaut zao pembeni kwa malezi ya mtoto wengine wana miaka na miaka bila mawasiliano.

Hakuna mtoto mdogo humu asie na Ex, vp uzoefu wako katika safari yako ya mapenzi na je yapi madhara ya kuoa/kuolewa na mtu mwenye Ex mwenye sifa mojawapo tajwa apo juu 👆 au ongeza aina ya Ex ambayo sijataja.

Swali la nyongeza hivi unajisikiaje Ex wako kutoboa kimaisha mfano miaka 5+ mmeachana na mtu then mnakutana mwenzio yuko mbali sana kimaisha, sema ukweli utafurahia hatua zake au utajihisi inferior?
Hatari sana. Mapenzi hayataki viporo, utajikuta hufanikiwi mapenzini kisa ni wapenzi wako wa zamani wasio na future
 
Eksi asie na chuki ukimpigia anapokea frsh tu...hata msg anajibu tu kawaida...ila ndo ivo tena tusizoeane
Uzi umejaa zinaa. Eksi asie chuki na Salio anatuma

Hivi eksi ndio Hawa tunaonyandua Kila siku au ni wale tunaogandana. Sipendi madem wanaokuganda. Kama ni wale tunaokula kila tukitaka ni wengi tu, na wake Watu ndio wengi.

Sometimes namuuliza mama J, hivi eksi wako mnawasiliana maana namdai pesa nyingi
 
Uzi umejaa zinaa.

Hao ni madanga promax mkuu...eksi mnaachana ila bado unamuelewa
 
Kuna baadhi ya watu wana ma ex ambao hawajiju kuwa ni ma ex. Akipigiwa na kunyandulia anafikiri ni wapenzi kumbe alishaachwa kitambo. Ama kwa mwanaume akipigiwa na kuombwa hela anajua anahudumia mpenzi wake, kumbe ni ex.

So sio kila unaedhani ni ex wako huwa ni ex wako, wengine hawana taarifa za kuachwa.
 
Back
Top Bottom