Phone4Sale Nauza simu aina ya Itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

*Screen (5.7 Inches)
*Battery (3020 mAh)
*RAM (1.00 GB)
*Storage (16.00 GB)
*3G/2G auto

Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina tatizo la aina yoyote.

Kwa mteja alie serious karibu tufanye biashara.Napatikana Mbezi Stand ya Magufuli namba yangu ya simu ni 0719742225.

IMG_20230212_071344_204.jpg
IMG_20230212_071443_499.jpg
 
Back
Top Bottom