Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
Kama mnavyojua Sekta ya Mapenzi ndio sekta tukufu kupita zote..
experience matter more..
Kuna Class mate wangu wa sekondari tulikutana chuo japo yeye alienda Advance mimi sikwenda, Alinikuta College nikawa kama Senior (mwenyeji) wake..kimtindo
Tukiwa chuo uhuru wa manyani, nikachati nae sana...
Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume.
Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
Wadau Ujuaji siyo mzuri ila furaha ni jambo njema tuendelee kujifunza lugha za wakubwa duniani tusikate tamaa! Kiswahili ni kiswahili na kiingereza kisalie hivyo! -SHE delivered a baby boy ❌
-SHE was delivered of a baby boy ✅
➡️
➡️ kumbuka kwa Waingereza "A woman is...
Musa wa kwenye uislamu alikua mwoga mwoga ambaye siku zote alijisitiri mwili wote kwa nguo, hadi Waisraeli wakawa wanamsema kuwa ana ukoma au maradhi fulani ya ngozi, sasa ili mungu wa waislamu aonyeshe kweli jamaa hana matatizo ya ngozi, akasubiri siku moja Musa anaoga, alipomaliza na kwenda...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Maneno meengi kuipigia debe Taifa Stars na hasa Wakenya walipo amua kuwa against sisi kwa kila jambo hasa kutusaidia kutokana na sisi kushindwa kujipigania na tukijipigania tuna kumbana na nguvu ya dola au kutekwa na kupotezwa.
Wako wapi hao milioni 13 wanaccm wasijae kiwanjani kuipigania "timu...
Wakuu,
Mmeona hii video ambayo Jambo wamepost? Kwa kweli kuharibu sifa ambayo umejitengenezea kwa wananchi ni dakika moja tu.
Wananchi wamepiga spana kwenye comments hadi wameamua kuifuta
Ni wazi kuwa kipindi cha kampeni kwa mujibu wa tume bado hakijaanza. Kwanini Jambo wapost video kama hii...
Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki?
https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
Hivi mmekosa wafanyakazi??
Ama wafanyakazi wanafanya kaxi kwa mazoea?
Hii mara ya tatu nimetoka hapo mlimancity tumepangana kama watu 12 mhudumu n mmoja tu huu n ushenzi
Wewe unaepanga kutoa hela kuweka nenda sehemu zingine branch ovyo kabisa.
Mbaya zaidi wanakuja wazungu ama wahindi...
Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama...
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia !
Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya
Nyayo...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga.
Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.