Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

Wadada wanengua viuno vya uzazi majukwaani bila aibu .

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,075
Reaction score
5,973
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
 
Hii Ipo mara nyingi Tu, hata makampuni ya huduma za simu huwa wanapenda kufanya hivo anayefanya vizuri kulingana na wao, anapata zawadi.
 
Kule masakuu mbagala walikuwa Wanavua halafu wanajichua vinaniliu vyao hadi wanakoujowa jukwaani
Hawa wa dada hawa, sasa fundi maiko akipita hapo atapeleka ela kwa mkewe kweli??😁
 
Back
Top Bottom