CHAN 2024: Tanzania (bara) inatia aibu

CHAN 2024: Tanzania (bara) inatia aibu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,020
Reaction score
24,971
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia !

Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya

1755032136320.png

Nyayo Stadium, Nairobi Kenya

1755032500185.png

Nelson Mandela Stadium, Kampala Uganda

1755032688842.png

Aman Stadium Zanzibar

1755032848467.png

Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam Tanzania,

1755032995362.png
 
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia !

Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya

View attachment 3439513

Nyayo Stadium, Nairobi Kenya

View attachment 3439520

Nelson Mandela Stadium, Kampala Uganda

View attachment 3439521

Aman Stadium Zanzibar

View attachment 3439523

Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam Tanzania,

View attachment 3439524
Nimegoogle hio picha ya Tanzania imepigwa lisaa limoja na nusu kabla ya mechi kuanza, uwanja haujai ila sio hivyo, na inategemea hiyo picha unapigia upande gani, kuna upande wa uwanja umejaa full na upande hauna watu.

Pia usifananishe B. Mkapa na viwanja vidogo.

Kasarani - 27,000
Nyayo stadium - 30,000
Nelson Mandela - 45,000
Amani - 15,000
Benjamin mkapa - 60,000

Hii video ya highlight Tanzania na Burkina Faso hio nyomi inajaza viwanja viwili vya Kenya, hakuna popote hio attendance unapata.

View: https://m.youtube.com/watch?v=j9GzeXeVl4s
 
Wewe umehudhuria mechi yoyote ya CHAN?
 
Wewe umehudhuria mechi yoyote ya CHAN?
Nimehudhuria zote; jana nilikuwa Uganda kuangalia Nigeria inetembezewa kichapo cha mbwa koko. Sasa hivi niko dar naisubiri ya Madagascar na CAR kesho. Unaweza kudhani naongopa lakini elewa kuwa niko likizo ya Summer tangu mwishoni mwa July hadi mwishoni mwa August, huenda nikahudhuria fainali pia
 
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia !

Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya

View attachment 3439513

Nyayo Stadium, Nairobi Kenya

View attachment 3439520

Nelson Mandela Stadium, Kampala Uganda

View attachment 3439521

Aman Stadium Zanzibar

View attachment 3439523

Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam Tanzania,

View attachment 3439524
Taifa Stars imekuwa kama Mali ya CCM ndio maana watu tumewasusia litimu lao. Sasa tunaenda kuisusia na Yanga pia.
 
Nimehudhuria zote; jana nilikuwa Uganda kuangalia Nigeria inetembezewa kichapo cha mbwa koko. Sasa hivi niko dar naisubiri ya Madagascar na CAR kesho. Unaweza kudhani naongopa lakini elewa kuwa niko likizo ya Summer tangu mwishoni mwa July hadi mwishoni mwa August, huenda nikahudhuria fainali pia
Upo vizuri Chief Kula maisha
 
Mechi ya Nigeria imepigwa Uganda? Mbona una utani mwingi sana? Ama umeingalia kwenye TV ukiwa Uganda?
 
Yaani msomi wa chuo kikuu hujui historia ya darasa la tano hakuna nchi inaitwa TANZANIA BARA
 
Hamna
Yaani tunashindwa kujaza hata nusu ya viti kwenye uwanja wa Mkapa, wakati wenzetu KLenya na Uganda wanjaza mpaka watu wanaoksa pa kukaaa? Ni aibu kabisa, halafu eti tunataka tuhost ufunguzi au ufunganji wa AFCON 2027? CAF watakubali kweli: angalia !

Kasarani Stadium , Nairobi, Kenya

View attachment 3439513

Nyayo Stadium, Nairobi Kenya

View attachment 3439520

Nelson Mandela Stadium, Kampala Uganda

View attachment 3439521

Aman Stadium Zanzibar

View attachment 3439523

Benjamin Mkapa Stadium, Dar es Salaam Tanzania,

View attachment 3439524
Hamna lolote. Wakenya wanapenda sana vya bure, walivunja hadi magetimili waingie bure kwenye kiji uwanja wao.
 
Mechi ya Nigeria imepigwa Uganda? Mbona una utani mwingi sana? Ama umeingalia kwenye TV ukiwa Uganda?
Samahani; nimekuwa nazunguka Dar, Zanzibar, Nairobi na Kampala tangu mashindano yaanze. Wakati mwingine ni vigumu kuhudhuria mechi zote ninazotaka kwani usafiri wa kutoka mji mmoja hadi mwingine unakuwa siyo haraka hivyo. Mechi ya Nigeria na Sudan nimeingalia pamoja na mashabiki wa Uganda kwenye big screen moja hapo kampala wakati najiandaa kuja Dar. Nafikiri sikuiweka hiyo vizuri. Nilikuwa Kampala kwa ajili ya Mchezo wa Uganda na Niger. SIkupata usafiri wa mara moja kuweza kufika Zanzibar on time
 
Nimegoogle hio picha ya Tanzania imepigwa lisaa limoja na nusu kabla ya mechi kuanza, uwanja haujai ila sio hivyo, na inategemea hiyo picha unapigia upande gani, kuna upande wa uwanja umejaa full na upande hauna watu.

Pia usifananishe B. Mkapa na viwanja vidogo.

Kasarani - 27,000
Nyayo stadium - 30,000
Nelson Mandela - 45,000
Amani - 15,000
Benjamin mkapa - 60,000

Hii video ya highlight Tanzania na Burkina Faso hio nyomi inajaza viwanja viwili vya Kenya, hakuna popote hio attendance unapata.

View: https://m.youtube.com/watch?v=j9GzeXeVl4s

Umemsikia hata MSigwa akilalamika?

View: https://www.youtube.com/watch?v=1EnItutH-8Y
 
Wanaoenda uwanjani hawalalamiki ila ambao hamuendi ndio mabingwa wa kulalamika.
 
Tukijaza uwanja utasikia mama kahamashisha vzr na wa tz wanamuelewa
Mbuni wa porini kbs kiingilio changu halafu unaleta umbuzi wa mama rodi lofa kbs
Wawasombe CCM kwenye malori wakajaze uwanja kama wanavyofanyaga kwenye kampeni mbona simple tu
 
Back
Top Bottom