Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga
Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia
Wamefunga comment huko
LONDON BOY
Nimekaa na kujiuliza ivi mtu ambae amewahi kua rais na makamo wa rais wa JMT na chama kikubwa kama CCM huoon aibu kugombea urais na salim mwalim mtu hana Ata mvuto siasa hajui kuongea Ata kuvutia watu 100.
Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha
Spika wa bunge, mbunge na mwanachama wa CCM Bado hajazikwa, CCM mshatangaza kukabidhi fomu ya mgombea wenu pekee na asiyepingwa hiyo kesho
Job Ndugai na bunge lake ndo alitoa budget ya kujenga bwawa la mwalimu Nyerere, SGR na kivuko cha Busisi
Bila shaka inasemekana uchukuaji fomu utaambatana...
Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga.
Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!!
Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??.
NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
Alikoswa koswa kwa Risasi....Sasa tunataka akoswe koswe na Kitanzi.....
Kuficha mashahidi ni utaratibu wa nadra unaoruhusiwa tu pale ambapo mazingira ya kesi yanaonyesha wazi uwepo wa tishio la moja kwa moja kwa usalama wa shahidi au chanzo cha taarifa (source) na hata hivyo, chanzo hicho...
Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah.
Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti.
Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala.
Unakuuta mtu...
Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka.
Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki.
Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya...
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao wameshindwa kuwadhibiti ?
😁😁😁ila wanajua daah au basi
Wakuu niaje
Nimekuwa Dar es Salaam kwa miezi kadhaa sasa, na kuna mambo nimeyaona ambayo kwa watu wa huku ni ya kawaida kabisa, lakini kwa sisi tuliokulia mikoani yanaweza kushangaza, kuchekesha au hata kuwa ya aibu.
Je, haya ni maendeleo au tunapotea kimaadili? Hebu tujadili kwa uwazi lakini...
Huko Namtumbo Rais amezindua mradi wa ka kiwanda cha kuchenjua Uranium kama mashine za kusaga za vijijini. Mradi ambao kiuhalisia ulipaswa hata kuzinduliwa na Diwani wa Kata husika.
Hata hao wawekezaji tu wanaonekana ni wapigaji na wajanja wajanja tu ambao hawana hili wala lile. Hata kwenye...
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa ...
Kuna mtu hawazi Wala kufikiria watu watasema nini mtoto na mwanawe kupita bila kupingwa katikati ya watanzania 65,000,000.
Hata kama unasema hujui lakini hii inaweza kukulazimisha kujua.
Baada ya baba wa taifa kufa, nani amebakia kutuambia acheni kufanya hivi?
Msoga kuweni na aibu kidogo, mnajenga chuki dhidi ya vizazi vyenu!
Angalau weka watu mshindanishwe....mkipita it is OK,.....haya mnayofanya hakuna anayewaunga mkono!
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama.
2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.