aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

    Picha hii inayosambaa mitandaoni ikiwaonyesha wanajeshi wa JWTZ wakipokea maelekezo kutoka kwa Polisi imeibua mjadala mkubwa. Huku wengine wakiona kama ni kushusha hadhi ya jeshi la wananchi, swali linabaki ni Je! Itifaki ya vyombo vya ulinzi na usalama inawezekana kwa jambo hili? Hivi Hili ni...
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania nyinyi si mnasema ni vyombo vikubwa vya habari tz aibu naona mm

    oneni sasa wananchi wameamua kupuuza habari zenu hawatoi hata maoni
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM mliomdanganya rais Samia kuwa anakubalika wakati wananchi hawamtaki hamuoni aibu?

    Alipokuwa kuwa anafanya ziara za kunadi ilani ya chama chenu . Nasema ziara maana zilikuwa sio kampeni mlimdanganya na kula pesa za chama chenu bure. Mlisomba watu kwa malori, matrekta , mabasi na semitela ili kujaza watu kwenye ziara zake. Lakini kumbe watu hawamtaki. Nasema kuwa mna dhambi...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kusingizia kitu zama hizi ni kutafuta aibu za kujitakia

    AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao. Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane Credit: Hilda Newton FB
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mnaogopa Maandamano kisa Mnatakiwa kutoka kila siku ili mle kuweni na AIBU

    GT Kuna mambo yanashangaza sana lakini inaonekana hata waandishi wa habari wetu ni vichwa maji contents kama hizo wala siyo za kuweka public. Tafsiri ya wewe utoke kila siku ndiyo ule ni kwamba wewe siyo masikini tu bali kapuku kabisa. Hawa wanaosema hivyo wanatakiwa wawe mstari wa mbele kwenye...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM mmetuangusha, mmetufedhehesha, mmetutia aibu- kitaifa na kimataifa

    “Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu” Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba mwaka huu umeweka historia ya aibu. Aidha CCM sasa imekiuka madhumuni ya uanzishwaji wake maana , chama kiko insensitive kwa wananchi wake. Kwamba kulikuwa na maonyo, kisiasa ,kuwa kunaweza kuwepo maandamano, CCM ,ilijiweka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aibu kwa Zitto: Tume yamtangaza BabaLevo kuwa Mshindi Kigoma Mjini

    Hii ni aibu ya karne kwa kaka yetu Zitto
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ni aibu mtanganyika kumshabikia SSH aongezwe miaka ya urais, Zanzibar inaneemeka, Tanganyika hoi

    Tanganyika imefifia na itazidi kufifia. Ndani ya miaka hii minne ,Zanzibar imepiga hatua zaidi kwa mgongo wa Tanganyika Maisha ya watanganyika yamejaa hofu, ajira hewa, hospitali gharama zipo juu ukihojo hoji sana unapotezwa hadharani. Jitafakari wewe mtanganyika unayemshabikia mzanzibari...
  10. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  11. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  12. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Aibu! Hivi ndivyo Tanzania inavyoonekana mbele ya jumuia ya kimataifa

    Chawa drama 🤣. Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali. Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Ila siwalaumu sana CCM. Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’. CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Samia ameutia aibu sana umma wa Kiislam Tanzania.

    Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede. Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote...
  15. B

    JamiiForums Tanzania "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  16. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Ni aibu serikali kuwatumia mabongolala kama mwijaku,Stan bakola,wema sepetu,Jimmy mafufu na vilaza wengine kuhamasisha watu wakatiki oktoba

    Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda: Ni aibu Arusha kutokuwa na Stendi, haina faida uwe kiongozi halafu hakuna alama uliyoacha

    Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa haraka ili kuboresha usafiri na hadhi ya jiji. “Arusha ni lango la utalii wa Tanzania, haiwezekani...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Alifeli akiwa makamu amefeli akiwa Rais bila aibu anataka kurudi tena

    Kuna kiongozi wa nchi moja alifeli sana kipindi akiwa makamu baada ya kuupata mithili ya tunda dodo lililoanguka chini mchangani, wala hakuwa na sifa wala vigezo isipokuwa tu gender balance na 'visiwani balance' sasa alifeli vibaya, kama zali akaula tena, sasa amenogewa na kujiona uwezo anao...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza Samia hizi sehemu mbili tofauti utagundua kuna Shida. Ni Aibu

    Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
  20. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Traffic light za isevya Tabora ni aibu

    Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe yule meneja wa tanroads maanaajibu aliyotoa ni uzembe
Back
Top Bottom