aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Duh kumbe Wanyonge na Mafuraka wa TASAF ili wapewe chochote kitu, wanalimishwa Mitaro , Kuchonga Barabara , hii ni Aibu!!

    Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na kusafisha vichochoro Kwa Malipo ya Fedha za TASAF. Imeniuma sana sana sana, Hata MAGUFULI hakufanya...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

    Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya kimataifa kuwa Chadema wamegawanyika. Malipo ni hapa hapa duniani. Sasa kimewalamba, wamevurugana...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni aibu kubwa Kwa CHAUMMA, mkutano wao wa Zanzibar waudhuriwa watu wachache sana

    CHAUMA ebu punguzeni kujitia hasara. Utakodishaje mziki,na jukwaa afu unaishia kuhutubia watu 6. Hawa viumbe walidhani ma press conference ndo yangewafanya wapendwe na watu. Sahivi wanalia kilio Cha kusaga meno. Catherine Ruge Devotha Minja Moza Ally Suzan Kiwanga Tunawasubiri mshinde ubunge...
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi ni aibu kwa taifa

    Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli kweli.mikutano ya chama tawala na vyama vya upinzani inajaza aswaa. Hapa Tanzania strong contenders wa CCM ni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Issue ya kufeli kwa Aziz Ki ni aibu kwa Soka Letu.! Jadili

    Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..! Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ... Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...! Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea. Lipo la kujadili hapa...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni aibu na fedheha kwa mama Salma Kikwete kuendelea kugombea ubunge.

    Inamaana hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza huko lindi?
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga: Yeyote anayeagiza Polisi kuwapiga watu risasi, aibu yako

    Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),Raila Odinga amelaani kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen baada ya kutoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwapiga risasi na kuwaua raia watakaosogelea kituo cha polisi katika maandamno yaliyofanyika Kenya Akizungumza na wakazi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Spika huu utaratibu wa leo mbona wa hovyo? Masaa 2 wabunge wanamsubiri Rais? Hiyo ni aibu!

    Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano aa Tanzania wameingia ukumbini tangia saa 02.30pm mpk sahizi hakuna kinachoendelea, hii ni aibu. Yaani ikulu imekuwa ya hovyo hivi?
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Naondoka Bungeni bila Mume wangu, Naondoka na Aibu na Mikopo ya kutisha

    Ninaondoka Bungeni Bila Mume Wangu, Bali na Mikopo Mikubwa na Aibu Jana katika Sekretarieti ya NRM, nilifanya mahojiano yenye hisia kali na mbunge wa kike aliyekuwa amechukua fomu za uteuzi. Aliniruhusu kuchapisha taarifa hii bila kutaja jina lake. Yale aliyoshiriki yalikuwa ya kuhuzunisha na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kusema Ukweli Tendo la kutoa haja kubwa ni la aibu sana; ila ni kwa vile tu linafanywa na wote basi tunajifarijimo!!!

    Hebu fikiria kama ingekuwa ni Lord Denning peke'ake anayetoa haja kubwa Hali ingekuaje? Asingeweza hata kuanzisha mada kwa jinsi angetaniwa na kuchekwa.
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuuliza swali lolote kuhusu football ulilokuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza

    Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football. Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
  14. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani la aibu umewahi kulifanya bila watu kukushtukia?

    Kuna siku bana, niko kwenye mwendokasi,nikajamba kile kishuzi cha kimyakimya,aisee kilinuka vibaya gari nzima na kama mjuavyo mwendokasi zinavyojaaga,watu wakapiga kelele sana wengine wakawa wanatukana kuwa nani huyo asiye na adabu kajamba,mimi nikawa nimejikausha nazuga eti na mimi kufunika...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama ndo wale ni mawakili wa serikali wanaosimamia kesi shitaka upande wa serikali ni aibu.

    Nahisi ni mahakama hipo upande wa fulani wakubwa ila kwa kama mahakama zingekuwa uhuru hii kesi hata kituo cha polisi ingemalizika hapo. Yani wale mawakili wa serikali nimejaribu kutafakali yani ndio serikali inategemea wanaweza kushinda kesi kubwa za kutikisa taifa kwa mtindo huu kila muda...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

    Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki. RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Ishawahi kukutokea umepata aibu wakati wa mechi?

    Guys me and ke je ni aibu gani ishawai kukuta wakati wa mechi ukavunga tu ila uliona aibu yaani kifupi ni tukio lilokupa aibu je ni lipi? Mimi nilikuwa sijui matumiz ya shanga manzi ndio ikanielekeza niliona jau ila kutokana na asili yetu shanga kwa wanawake hawavai
  19. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kuna ajali halafu Kuna ajali za aibu

    Imagine unapata ajali ukiwa unatoka au unaenda kununua Malaya Imagine unapata ajali kwasababu ulikuwa unafata umbea wa jambo Fulani. Imagine unapata ajali ukiwa unaenda sehemu ambayo haikuhusu tena unaenda kwa kuvizia ulikatazwa. Imagine unapata ajali ukiwa umetoka kumcheat mme au mke wako...
  20. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

    Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...! Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya...
Back
Top Bottom