aibu

Saki Aibu (相武 紗季, Aibu Saki, born June 20, 1985) is a Japanese actress. She is represented by Box Corporation.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Musa Zungu aibu yako kuhusu tozo za miamala

    Nakumbuka wewe ndiye ulishikia bango la tozo za miamala ya simu. Ukashawishi serikali na bunge kuanzisha tozo hizo bila kujali maisha duni ya Watanzania wengi huku ukiweka mbele maslahi yako binafsi! Hivi ulidhani wote wanauza madawa ya kulevya na kupata vipato haramu kama wewe. Sasa serikali...
  2. Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

    Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje. Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni. Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
  3. Hii ni aibu kubwa sana

    kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
  4. Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

    Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa, mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro. Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani...
  5. Bila aibu wala woga, CCM yaitangazia dunia kuwa hakuna Mtanzania mwenye uadilifu!

    Baada ya CCM kuitangazia dunia... Kwamba Watanzania hatuna mwenye uwezo wa kusimamia uendeshaji wa chombo kama Bandari kwa uadilifu! Kwamba Watanzania kwa ujumla wetu ni watu wasio na uaminifu katika utendaji wa kazi popote pale tulipo, Kwamba Watanzania kwa tabia sisi ni wadokozi, wala rushwa...
  6. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  7. Aibu kubwa Rais kutembea na 'chawa' wake na kuwalipa kutetea anapokosolewa anapofanya makosa

    Aibu kubwa sana, yaani kumbe wanagombea posho na UVCCM? This is a misuse of public funds.
  8. Tusiogope au kuona aibu kutumia Kiswahili.

    Hivi kwanini viongozi wetu wa kitaifa wanakionea aibu Kiswahili? Tumeshuhudia viongozi wetu wakienda uko nje na wakati mwingine tukipata wageni kutoka nje kuja Tanzania, viongozi wetu wanakisaliti Kiswahili na kutukuza lugha ya mkoloni! Hii sio sawa na inatuuma sana sisi wazalendo wa Kiswahili...
  9. Muonekano wa Stendi ya Mabasi Kondoa (Dodoma) unatia aibu

    Licha ya mamlaka za Serikali kuendelea kutoza ushuru kutoka kwenye mabasi ya abiri yanayopita kwenye Stendi Kuu ya Wilaya ya Kondoa. Mkoani Dodoma bado hali ya mazingira si mazuri. Mabasi yanavyopita wakati wa kiangazi vumbi linalotimka hapo si la Nchi hii, wakati wa mvua napo matope ndio...
  10. Gerson Msigwa umelishwa nini mpaka unatetea ufisadi na mkataba wa hovyo kama huu! Huoni aibu kwa taifa lako.

    ⁴Kupatia watumishi mafunzo nalo linahitaji Mwarabu kuwekeza. Kuongeza idadi ya meli hatuwezi kama taifa kutafuta tatizo na kufanya ufumbuzi maana tatizo ni miundo mbinu
  11. Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  12. TRA Kulikoni server ipo chini ni Aibu. Kazi tunajaza vp?

    TRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini. Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee. Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee. Wengine tumeshindwa kujaza kazi.
  13. Video: aibu, Warusi walipua tractor na kudai wamepiga kifaru cha leopard 2

    Hawa jamaa hadi wanatia aibu.. https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089 A grainy black-and-white gunsight video Russia released this week to bolster a claim its military blew up some of Ukraine’s most fearsome tanks actually...
  14. S

    Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  15. Viongozi wa Dini susieni Mkutano wenu na RC Chalamila kwa kuwa ajenda yake ya Aibu imejulikana

    Ni aibu kwa viongozi wa dini kuhudhuria mkutano wa kumsaidia Samia apite bila kupingwa, hiyo inamaanisha mkutano huo mnaenda kuhongwa ili muegemee upande Mmoja. Ni aibu kuhudhuria mkutano wa kujadili namna ya kuisaidia CCM kubaki madarakani, ni aibu kwenu na ni aibu kwetu sisi waumini wenu...
  16. Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  17. N

    Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
  18. J

    Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  19. M

    DOKEZO Elimu wilaya ya Ubungo hii ni aibu ifike mwisho

    Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama; 1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja. 2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock). 3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…