huku wakiongeza matozo kila sehemu! hakika tunaisoma namba1. Uchumi ukikaa vizuri nitaongeza mshahara
2. Mmeona wenyewe corona ilivyotikisa dunia, fedha hakuna
3. Uchumi ukiimarika nitaongeza mshahara.
4. Vita ya Ukraine na Urusi imeharibu Uchumi
5. Vita ya Irani na Israel misaada hakuna kabisa