Tazama hapa majina ya Waliochaguliwa TAMISEMI Afya na Elimu

Ebwana eeh Leo kwenye magroup ya fb ya tetesi za ajira za walimu patakuwa hapatoshi...ngoja tusikilizie hii ishu ya Moto matumaini makubwa,maneno mengi halafu kazi(waajiriwa) kidogo....pamoto
 
Aisee.

Kazi ipo.

Nimeona katibu mkuu anasema wamezingatia umri kwanza. Eti watu wa miaka zaiid ya 40 wasipoajiriwa hawatakuja kuajiriwa tena, kwani ni lazima waajiriwe?

Mambo ya hovyo kabisa.
 
MD wachache sana aisee
Wakati kwenye hospitali za wilaya huku mikoani MD hawatoshi kabisa
Anyway tuwe na subira
 
Hapo kwa afya ilo jina na la kwanza na la pili MD kamaliza form four 2011 alaf chuo kamaliz 2014 kiutaalamu inaitwaje iyo, means kasoma advace/diploma hadi chuo 5years na intern kwa miaka 3??
 
Aisee.

Kazi ipo.

Nimeona katibu mkuu anasema wamezingatia umri kwanza. Eti watu wa miaka zaiid ya 40 wasipoajiriwa hawatakuja kuajiriwa tena, kwani ni lazima waajiriwe?

Mambo ya hovyo kabisa.
Wangekuwa hawataki ajira basi wasingeomba hizo ajira.
 
Back
Top Bottom