Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa.
Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"?
Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu.
Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali.
Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 alisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani.
Amesema yeye ni Mzee wa miaka 79 na hali yake kiafya ni miongoni mwa sababu hatakiwi kwenda jela kwakuwa itamuweka kwenye hatari...
Covid19 ni virus?
Kama ndivyo
Virus : Non living organism outside of the host cell (si kiumbe Hai nje ya seli ya kiumbe hai)
Mate hayana seli za kumuhifadhi(to host) kirusi.
Je! Ni kwa namna gani Korona inaweza ambukizwa kwa njia ya hewa, (drop lets)?
Kawaida ya magonjwa ya virusi mtu...
Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari.
Korea Kaskazini...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata.
Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka.
Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili.
Ni...
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.
Gazeti la The Sun...
Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
Wakuu,
Naona awamu hii baada ya TAMISEMI kubanwa mbavu dhidi ya janjajanja za ajira za walimu na kada ya afya, sasa wameamua kuja kivingine na wengi hawawezi ng'amua kirahisi
Itakumbukwa kipindi cha Jk ajira za ualimu na afya zilikuwa zinatolewa kila mwaka na watu walikuwa hawa-apply yaani...
Si kwamba nimebahatika lahasha ila vigezo vilivyo tumika vinajieleza kuwa Haki imeonekana kutendeka na muendelee na vigezo ivyo katika ajira zijazo
Kazi iendelee....
Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021.
========= UPDATES=======
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
Maneno aliyokua anayaongea hayati na kuwakalilisha wananchi wake, sasa imekua ngumu kwa Wananchi kuelewa kila ukiwaambia kitu utasikia Mbn Magufuli alisema hivi, mbn Magufuli alisema vile!
Wananchi wamekua wagumu kuvaa Barakoa Hongera Wizara ya Afya kwa kutoa Elimu Mujarab
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA), imetoa msaada wa mashuka 431 kwa Vituo vinne vya Afya katika Jiji la Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. EWURA imeona itoe msaada huo kama kurudisha mchango wake kwa jamii kwenye sekta ya afya.
“Mashuka...
Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye...
Summary:
Inashauriwa kutembelea maziwa makubwa, mito, fukwe za bahari ili kuimarisha afya ya ubongo wa mwanadamu
Tafiti iliyofanyika imeonesha watu waliotembelea maeneo haya wana afya nzurr ya ubongo na magonjwa yaambatanayo na msongo wa mawazo/ama uchovu hayawakaribii kabisa
Ushauri: Sio tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.