afya

  1. B

    Naomba tujadili kidogo juu ya huduma za afya Hospitali Binafsi

    Inapofika mahali ukachunguza unaporekebishiwa uhai huna budi kuchunguza ukiwa umefunga mdomo,milango na madirisha. Hospital ya Aga Khan ni moja ya hospitali zinazopokea wagonjwa wengi kwa sasa ni hospital ya private. Nadhani inaweza isiwe na vifaa vizuri Kama mloganzila ila inaweza ikawa na...
  2. Siwezi kulea Mtoto ambae Wazazi wake wako hai na afya zao

    Utakuta mtu anakuletea mtoto wake ati ukae nae yeye kamshindwa tabia, sasa umemshindwa wewe uliyemzaa nitamuweza mimi ambaye sijui uchungu wa huyu mwana? Ati anakuletea ukae naye kisa maisha magumu hivyo msaidie kulea, kwani akikaa huko huko na wewe mzazi wake alafu mimi nikawa namsaidia akiwa...
  3. Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  4. Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

    Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa. Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua...
  5. J

    Prof Mchembe: Wanaoruhusiwa kutoa taarifa za Afya ni Waganga wa Mikoa na Wilaya siyo Wanasiasa

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe amesema kuanzia sasa wasemaji wa maswala ya afya ni RMO kwa level ya mkoa na DMO kwa level ya wilaya. Prof Mchembe amesema waganga wa mikoa na wilaya wana timu za wataalamu na amewataka wanasiasa kutojiingiza kwenye maswala nyeti ya afya. Kadhalika...
  6. Kushuka athari za Corona India kwawashangaza Wataalam wa Afya

    Imeelezwa kuwa athari za corona nchini India ikiwemo idadi ya maambukizi na vifo imeshuka kwa kiwango cha juu bila kupatiwa maelezo ya kitaalamu. Awali ugonjwa huu ulipoanza hapo mwaka jana ilikisiwa kuwa taifa hilo la pili kwa idadi ya watu duniani lingeathirika zaidi.Kuna kipindi maambukizi...
  7. J

    Spika Ndugai aahirisha Bunge na kuwataka Wabunge kuzingatia masharti ya Serikali kuhusu afya zao pia madereva wao wasikimbie hovyo

    Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30. Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
  8. J

    Waziri Gwajima: Muswada wa sheria ya Bima ya Afya kwa wote kufikishwa bungeni hivi karibuni!

    Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni. Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba. Source TBC Maendeleo hayana vyama...
  9. Ni muhimu kutunza afya yako muda wote, haijalishi una umri gani

    Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha. Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
  10. Wizara ya afya itoe waraka maalumu wa namna gani tiba asili inaweza kutumika katika vituo vya huduma za afya

    Ni muhimu kwa wizara ya afya kutoa muongozo rasmi wa namna gani wataalamu wetu wa afya na vituo vya huduma za afya nchini vinaweza kutumia tiba asili katika kuwahudumia wagonjwa. muongozo huu utaondoa sitofahamu mbalimbali za utaratibu wa tiba nchini.Wizara ije na sera na miongozo rasmi kuhusu...
  11. N

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel, kuzungumza na vyombo vya habari leo 11 Februari 2021

    Leo Februari 11 Mwaka huu kuanzia mchana Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Watoto, Daktari Godwin Mollel atazungumza na vyombo habari na matangazo hayo kurushwa mubashara na TBC Taifa kuzungumzia hali ya Afya hapa Nchini kwa ujumla wake. Mfahamishe ambaye hana taarifa.
  12. E

    Serikali na Wizara ya Afya ninaomba "FUKIZA KILA KAYA", kampeni maalumu ya kutokomeza magonjwa ya milipuko

    Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine. Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
  13. S

    Namshauri daktari aliyesimamishwa kazi na Waziri wa Afya huko Chunya, Mbeya, aingie sekta binafsi

    Nadhani kisa cha huyu doctor aliyesimamishwa kazi na Waziri Gwajima kwa sakata la ugonjwa ulioibuka huko Chunya, Mbeya kitampa jibu zuri sana kwa nini madaktari na wafanyakazi wengine wengi wanaamua kukimbia ajira za serikalini na kuingia private sector. Ukweli ni kwamba katika awamu ya uongozi...
  14. J

    Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana. Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani. Ndipo...
  15. B

    Mhe. Waziri wa Afya, umepata malalamiko juu ya maziwa mapya ya Lactogen?

    Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu. Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni...
  16. U

    Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

    Mazoezi ni muhimu Mazoezi ni Afya Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.
  17. Dawa asilia sasa kuwekewa mkakati wa kupatikana katika Vituo vya kutolea Huduma za Afya na Maduka ya Dawa za Binadamu

    Na WAMJW - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imeweka mkakati wa kusogeza karibu huduma za tiba asili kwa jamii ambazo sasa dawa hizo asilia zinawekewa mikakati ya kupatikana hadi kwenye vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na maduka ya kuuza...
  18. J

    Nakubaliana na Rais Magufuli kwa sababu enzi za "mitishamba" afya za Watanzania zilikuwa imara!

    Anachokisema Rais Magufuli ni kwamba Watanzania tusipaparikie chanjo bali tuimarishe kinga zetu kwa kutumia tiba na njia za asili ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu. Nijuavyo mimi kitengo cha utafiti wa tiba za asili kimekuwepo tangu 1971 kabla hata ya hii NIMR iliyoasisiwa miaka ya 1980s na dawa...
  19. Video: Hili ndio Bunge la viwango la kijani la awamu hii, msikilize Waziri wa Afya

    Ni vituko juu ya vituko !
  20. Nadhani Wizara ya Afya wako sahihi kusema tutumie dawa yenye vitunguu swaumu kupambana na korona

    Nimesoma sehemu kuwa miili ya watu wengi waliokufa korona imekutwa na damu ikiwa imeganda kwenye mishipa midogomidogo ya damu na kuiziba (thromoembolism). Wamesema hii ni moja ya complication ya korona. Sasa kitunguu swaumu kina tabia ya kufanya damu iwe nyepesi na isigande kirahisi. Naona ule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…