afya

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukimbize mbio za Mwenge kipindi hiki cha COVID-19?

    Juzi nilikutana na mbio za Mwenge pale Mkata, watu wamekusanyika balaa na msafara umezuia magari yasiende. Jamani mbona hatuko serious na afya za watu wenyewe? Dunia itatuelewaje sisi jamani? Kwani kwenye Mwenge kuna nini kiasi hiki?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, kwanini mahabusu na wafungwa hawavai barakoa tahadhari ya Corona?

    Mahabusu na wafungwa Wana haki ya kuishi Kama binadamu wengine. Tumeona mahabusu wakifikishwa mahakamani bila barakoa, tumesikia mahabusu waliopo vituo vya polisi na Magereza wakidai hawaruhusiwi kuvaa barakao Wala kuchukua tahadhari ya corona, je waziri wa mambo ya ndani na Waziri wa afya mna...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya, ijifunze na itoe maelekezo ya matumizi ya dawa iitwayo "Ivermectin" kwa kutibu wangojwa wa Corona

    Bila kuremba, Serikali itoe maelekezo ya matumzi ya dawa hii katika kutibu Corona kama iliyvogunduliwa kule Israel kuwa inatibu corona. "That has been known since the start of the pandemic. But that has been wilfully ignored, otherwise, the vaccine could not get its emergency approva"l...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  5. Emerald Maggie

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Mambo yanayochangia kuboresha au kudhoofisha afya na mienendo bora ya maisha ili kuwa na afya bora

    AFYA Ni hali ya mtu kua mzima kimwili, kijamii na kiakili. Uzima wa mtu katika nyanja zote una mchango mkubwa juu ya mwenendo wa maisha na maamuzi ya mtu katika nyakati mbalimbali. Uzima wa kimwili humwezesha mtu kufanya kazi na kutimiza majukumu yake ya kila siku na hivyo kujiendeleza...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Faida na Afya

    Hali iliofikia sasa watu wanajali biashara kuliko afya. Embu chukua mfano wa biashara za ufugaji kuku wa mayai.. je mayai tunayokula ni salama? Japo faida yake kubwa. Najiulizaga sana: hivi watu wanapaita faida au hasara? Yani pesa au mgonjwa kipi kinatawala????🤔
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya kujitolea ya muda afya ya mifugo

    Habari ndugu zangu watanzania Mi ni kijana umri miaka 25 Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama na uzalishaji Muda ni miezi miwili tu kuanzia september mpaka november
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaosajiliwa wanapimwa Afya zao?

    Hakuna video wala taarifa inayoonyesha kuwa kuwapima utimamu wa mwili na akili vinafanyika kabla wachezaji kupewa mikataba ya kuvichezea vilabu. Hii haiwezi kuwa sawa hata kidogo, kila mchezaji anastahili kupita mchujo wa utimamu wa mwili na akili kwanza kabla ya kusainishwa mkataba. Kuna...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ujenzi unaoendelea Barabara ya Kilwa uzingatie afya za watumiaji

    Unapoelekea Mbagala kupitia barabara ya Kilwa utaona ujenzi unavyoendelea kwa kujenga pia njia ya mwendokasi, kuna daraja la juu pale Uhasibu na kwa kweli inapendeza haswaa. Mkandarasi anajitahidi kukimbizana na deadline ya kazi. Lakini kuna tatizo kubwa la vumbi litokanalo na kifusi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo - Mrejesho: Wizara tambueni changamoto hizi

    Mrejesho - day 1 (2nd Aug): Nitapata chanjo yangu inshallah pamoja na washirika wangu makwetu. Hili si zoezi la kukosa mimi na wote niwapendao. Hayawi hayawi hatimaye huenda yatakuwa. Tumefika kujiandikisha 08:00: wenye magonjwa mengine na wazee 50+ kwa mujibu wa waraka wa wizara. Karibu...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Iran: Waziri wa Afya aonya uwezekano wa COVID-19 kupelekea mfumo wa afya kulemewa

    Waziri wa Afya wa Iran, Saeed Namaki amesema Wimbi la Tano la Virusi vya Corona ambalo kwa kiasi kikubwa limetawaliwa na Kirusi aina ya Delta linaweza kuwa baya zaidi endapo hatua hazitachukuliwa. Ameonya kwamba Mfumo wa Afya Nchini humo huenda ukalemewa akisema, hata kama Hospitali...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa waliochanjwa

    Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona. Zaidi ya polisi 3,000 na maafisa wa usalama wameuzunguka mji mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi wakati maelfu ya...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ya viongozi na watu ambao wangeishi zama fulani tusingekuwa na maendeleo wala ugunduzi wowote katika sekta ya afya

    Ndugu wanajukwaa Nimejaribu kuwaza aina ya mawazo na fikra za baadhi ya viongozi na raia walizonazo kwenye karne ya 21 , zikanipa shida kidogo Najiuliza Kama wangeishi zama za milipuko ya magonjwa mbalimbali tusingekuwa na chanjo Wala dawa yoyote, maana fikra zingekuwa hizihizi. Ni watu wepesi...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya ina 'cover' chanjo ya COVID-19?

    Chanjo iliyokuja ni chanjo 1m tu. Nchi yetu tupo watu 60m. Hatuwezi pewa chanjo zote bure, na serikali haitaweza kugharamia zote. Nauliza kama bima ya afya NHIF ina cover chanjo? Mtu anapojiunga na bima ya afya, terms and conditions zinasemaje?
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  18. beijing_07

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  19. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 “Asbestos” kemikali yenye madhara makubwa kiafya iliyosahaulika katika mazingira yetu

    ASBESTOS NI NINI? Asbestos ni madini yanayochimbwa ardhini kama madini mengine. Kwa miaka iyoyopita asbsestos ilikuwa na bei nzuri katika soko la dunia kwa sababu ilikuwa na matumizi mengi katika viwanda. Tanzania asbestos inapatikana Ikorongo (Musoma), mbembe (Morogoro), Rubeho(Mpwapwa) na...
  20. Zero IQ

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wizara ya Afya iweke hiari ya kujitolea viungo vya mwili kisheria baada ya kufariki

    Kama kichwa cha habari kinavyosema ni wakati sasa kwa serikali yetu kupitia wizara ya Afya kuweka hiari ya kujitolea viungo vya mwili tena kisheria ili viweze kutolewa kwa wahitaji mara baada ya mmiliki wa mwili kufariki Ni hivi serikali kupitia wizara ya afya ipeleke muswada bungeni wa...
Back
Top Bottom