afya

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watumishi 9 wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 Uwanja wa JNIA Nyerere wasimamishwa kazi kwa kutofika kazini

    Watumishi tisa wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 kwa wasafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere (JNIA) wamesimamishwa kazi kwa kosa la kutokufika kazini kutoa huduma ya vipimo hivyo kwa wasafiri bila taarifa. "Imeonekana hapa hili zoezi la baadhi ya watumishi...
  2. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana

    Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Khamis ametaka watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana ili kupunguza matukio hayo. Amesema hayo mkoani Kigoma baada kupewa ripoti kuwa wilayani Kigoma kati ya kesi 128 ni sita pekee ambazo wahusika wamehukumiwa vifungo. Swahili Times
  4. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Unene wa kiwango hiki ni hatari kwa afya

    Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi. NB:itoshe kusema UNENE...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  6. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yenye afya

    Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili kutakata Kila mmoja kuchangia kwa 100% katika huo uhusiano Kutokuwa na msongo wa mawazo Kufanya kazi kwa...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Watu 408 wamebainika kuwa na Corona , 284 wakiwa katika mashine za oksijeni

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi kufikia Julai 8, 2021 jumla watu 408 walibainika kuwa na ugonjwa wa corona huku 284 wakitumia mitungi ya oksijeni. Dk Gwajima ametoa taarifa hiyo leo Jumamosi Julai 10, 2021 wakati akitoa elimu ya...
  8. LordMasele III

    JamiiForums Tanzania Ijue kozi ya Diploma in Diagnostic Radiography (DDR)

    Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu. Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na cuhas tu hapa Tanzania lakini pia muhas Wana mpango was kuanzisha degree yake. Kiufupi katika kozi...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya Corona

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amewaagiza Watumishi wote wa Afya katika Mamlaka za viwanja vya ndege kujilinda wenyewe kwa kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono mara kwa mara kwa sabuni na maji safi tiririka. Dkt. Sichalwe...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Sekta ya Afya yalemewa na ongezeko la wagonjwa wa COVID-19

    Hospitali katika Kisiwa cha Java Nchini humo zinakabiliwa na uhaba wa Oksijeni, Dawa, Vitanda na Wafanyakazi wakati huu ambapo ongezeko la maambukizi ya COVID19 limepelekea Sekta ya Afya kulemewa. Imeripotiwa kuwa, Hospitali kadhaa zimelazimika kufunga huduma za dharura kutokana na kukosa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waajiriwa wapya wa afya na elimu hawapewi hela ya kujikimu

    Tunawauliza OR TAMISEMI,hivi ni nini maana ya "hela ya kujikimu"? Waajiriwa wapya wa kada ya afya na elimu (walimu) walioajiriwa hivi karibuni wameshaanza kuripoti vituoni lakini hakuna hata halmashauri moja iliyowalipa waajiriwa hao fedha ya kujikimu. Unajiuliza, Nini maana ya "hela ya...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) latahadharisha mataifa yanayolegeza masharti ya kukabiliana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya kuhusu Serikali ulimwenguni kote kulegeza masharti ya Ugonjwa wa COVID19 mapema ikisema wanaofanya hivyo wapo hatarini kulipa gharama kubwa kwa kutaka maisha kurejea kama awali. Onyo hilo limekuja kufuatia hofu juu ya Kirusi aina ya Delta ambacho...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

    Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Jacob Zuma aomba hukumu yake kubatilishwa. Asema afya yake si nzuri na kwenda jela kunaweza kumuua

    Aliyewahi kuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameomba Mahakama kubatilisha Hukumu yake ya kufungwa miezi 15 alisema inaweza kumuua endapo atapata COVID19 gerezani. Amesema yeye ni Mzee wa miaka 79 na hali yake kiafya ni miongoni mwa sababu hatakiwi kwenda jela kwakuwa itamuweka kwenye hatari...
  15. Tman Clever

    JamiiForums Tanzania COVID19: Dunia nzima inapotoshwa? Siasa kwenye Afya?

    Covid19 ni virus? Kama ndivyo Virus : Non living organism outside of the host cell (si kiumbe Hai nje ya seli ya kiumbe hai) Mate hayana seli za kumuhifadhi(to host) kirusi. Je! Ni kwa namna gani Korona inaweza ambukizwa kwa njia ya hewa, (drop lets)? Kawaida ya magonjwa ya virusi mtu...
  16. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Utata wagubika kupungua uzito kwa Kim Jong-Un

    Televisheni ya Taifa la Korea Kaskazini imerusha maoni ya wananchi kuhusu afya ya Kiongozi wa Taifa hilo, Kim Jong-un baada ya video iliyokuwa ikimwonesha kupungua uzito kusambaa, hali ya nadra kutokea nchini humo kwa afya ya kiongozi wa nchi kujadiliwa kwenye chombo cha habari. Korea Kaskazini...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati kila Kijiji na Kituo cha Afya kila Kata

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata. Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote Wizara iache woga ipeleke muswada Bungeni

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka. Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili. Ni...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

    Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye. Gazeti la The Sun...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
Back
Top Bottom