afya

  1. M

    Covid-19 itatumaliza, Wizara ya Afya imekaa kimya kama vile haipo

    Ugonjwa wa covid 19 au uviko unaenea kwa kasi nchini.wizara ya afya utadhani haipo.hakuna jitihada zozote zinazofanywa na wizara hii kuhamasisha wananchi kujikinga na huu ugonjwa wa corona covid-19. Tayari leo Simba Sports club ishapoteza mmoja wa viongozi mashuhuri ambaye siku chache alihojiwa...
  2. SoC01 Ushuhuda wa jinsi UKIMWI ulivyotesa familia, kuongeza umasikini na mateso. Tushukuru ARV na wadau wa afya

    Hatukuwa tumewahi kufiwa na mmoja wa wanafamilia,kwa maana ya kaka au dada wa tumbo moja na baba mmoja.Misiba mingi ilikuwa ni kwa ndugu na jamaa tu wa karibu.Msiba huu wa dada yetu aliyekuwa "kichwa" na msaada mkubwa kwa familia ulitokea mwezi March 1993 wakati huo mimi nikiwa nimemaliza kidato...
  3. Nani anayesimamia mfumo wa afya unaogeuka kuwa biashara?

    Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma. Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo? Sijasema tuwazuie wafanyabiashara kufanya biashara hii lakini ni nani anayehakikisha hatuingii kwenye majanga biashara hii ya tiba kama...
  4. SoC01 Afya ya akili mtaji kwa vijana

    Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
  5. Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

    Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu...
  6. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
  7. I

    SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  8. Kwa ufaulu huu wa kidato cha nne anaweza somea kozi ipi ya afya ngazi ya Diploma au Cheti?

    Kwa ufaulu huu wa kidato cha nne anaweza somea kozi ipi ya afya ngazi ya diploma au certificate. Kisw-c, eng-d, math-f, bio-c,chem-d,geo-c,hist-d, civ-c.
  9. Katika ziara zake, Hayati Magufuli alikuwa akigawa pesa kwa ajili ya maendeleo, Sasa hivi wananchi wanakamuliwa

    Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
  10. Wizara ya Afya yamtafuta mtaalamu aliyefumua jeraha la mgonjwa baada ya kushindwa kulipa hela

    Wizara ya Afya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa hii inayozunguka mitandaoni kuwa, mtaalamu wa Afya katika kituo ambacho bado hakijatambuliwa amemshona mgonjwa jeraha kisha akalifumua kwa madai kuwa mgonjwa huyo hakuweza kulipia gharama. Ikiwa hili limetokea nchini Tanzania, basi ni...
  11. T

    Mbeya yapokea Tsh bilioni 1 ya fedha za tozo kujenga vituo vya afya 4

    Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu." Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
  12. T

    Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  13. Rais Samia: Tozo zitaendelea kuwepo

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi eneo la Tegeta Mkoani Dar es Salaam amesema Tozo zitaendelea kuwepo na hataki kuficha hilo Amesema, "Tuliweka tozo kwenye mambo ya fedha za mitandao, yamepigiwa kelele sana, nimesikia. Nimekaa na Wataalamu tumepunguza 30%. Miezi...
  14. Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  15. Crate Challenge: sio mchezo mzuri kwa afya ya mwili

    Huu mchezo unachezwa bila hata mavazi maalum ambayo yanaweza zuia mtu usiumie endapo utaanguka, watu kucheza kwa bidii sana crate zinapangwa mtindo wa pyramid au pembe tatu kisha unakuwa unapanda kama unapanda ngazi ili kutokea upande wa pili cha ajabu huwezi vuka bila kuanguka kwani crate...
  16. Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  17. B

    DC Suleiman Mwenda: Iramba tumepokea Milioni 500 za vituo vya afya viwili

    "Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida kupitia tozo za miamala ya simu ambazo Watanzania tunachangia kwenda kwenye maendeleo yetu tayari tumepokea shilingi Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa vituo viwili vya afya katika kata ya Kisiriri na Tyegelo. Tutasimamia fedha hizi ili zilete tija tarajiwa...
  18. Afghanistan: Shirika la Afya lakabiliwa na upungufu wa vifaa kutokana na vizuizi

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema lina vifaa vya kudumu wiki moja pekee Nchini humo baada ya vifaa vya matibabu kutoka nje kuzuiwa kutokana na vizuizi katika Uwanja wa Ndege wa Kabul. Pia limeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya sasa kushinikiza maambukizo ya COVID19. Imeelezwa, upimaji...
  19. R

    NACTE admission za vyuo vya Afya 2021/2022 toeni majina ya waliochaguliwa

    Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
  20. Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…