afya

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Teknolojia na Afya ya Akili: Kwanini matumizi yaliyopitiliza huweza kuwa na athari mbaya

    Kwasababu ya muda ambao watu hutumia mtandaoni, ni muhimu kuelewa uhusiano kati ya Afya ya Akili na Teknolojia, kwani mbalimbali Tafiti zinaonesha matumizi ya Intaneti kupita kiasi yana madhara. Mitandao ya Kijamii ni mojawapo ya njia kuu ambazo Intaneti huathiri Afya ya Akili. Hii hutokea...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Februari 4: Siku ya Saratani Duniani (World Cancer Day)

    Siku ya Saratani huadhimishwa kila Februari 4. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mwaka 2021, takriban watu Milioni 20 walibainika kuwa na Saratani na wapatao Milioni 10 walipoteza maisha Wataalamu wa WHO wanasema idadi hiyo itaendelea kuongezeka miaka inavyozidi kwenda, japokuwa...
  3. cokusoma

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya wanafunzi kozi za Afya; Barua ya wazi kwa Waziri Afya na Elimu

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA AFYA. NAKALA: OFISI YA WAZIRI MKUU...
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Wimbo mmoja tu wa "Kajenga Madarasa", hakuna kingine kikubwa zaidi?

    Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3? Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutunza na kuimarisha Afya ya Akili ya Mtoto wako

    Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara Ni muhimu kila Siku utenge muda wa kuzungumza na kumsikiliza Mtoto. Ikiwa mtoto wako anataka kuzungumza nawe...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Watu waliosoma masuala ya afya apply hii kazi nzuri sana - Swahili Medical Content Manager (f/m/x)

    ABOUT US At Ada, we envision a world where everyone has access to the healthcare they need. In one of the biggest challenges facing the world, we pioneered a new form of artificial intelligence, combining medical insurance knowledge with bespoke reasoning technology, to empower millions of...
  7. Dam55

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya wa Uingereza: Corona ni kama mafua tu tutaishi nayo milele

    Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 200,000 wanaoishi na VVU hawatambui hali za Afya zao

    Dar es Salaam. Mchakato wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema itaitumia ili kupunguza maambukizi mapya na kufikia malengo ya milenia mwaka 2030. Pamoja na hayo Wizara imesema inakusudia kupunguza idadi ya watoto...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa afya za viongozi wa ngazi za juu ziwekwe wazi kila baada ya kipindi fulani?

    Nimelazimika kupandisha huu uzi hewani baada ya kurudisha kumbukumbu namna mzee wetu hayati JPM alivyotutoka bila hata ya kutupatia angalau dakika 5 za kumuombea Tukiweka ushabiki wa kivyama pembeni hayati JPM alikuwa akipendeka sana ndani na nje ya nchi kiasi cha kama wananchi wangehisi hujuma...
  11. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Changamoto nilizokutana nazo wiki hii Kwa Huduma yaBima Ya Afya

    Bima nyingine kama NHIF Zina Changamoto hizi 1. Kama hakuna Umeme Huhudumiwi. Pale Levolosi Arusha nilikosa huduma Kwa sababu hakukuwa na Umeme. Nilioa baadhi ya sehemu taa Zinawaka ikiwemo Mapokezi. Nikaambiwa wanatumia Generator Haliwezi kuwasha Computer. Nikaazuga kwenda nyuma ya Mapokezi...
  12. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI-MABARA NZURI YA KUPIMA AFYA

    Wadau naomba ushauri maabara bora ya kupima afya maeneo ya Bunju, Tegeta na hata Mbezi Beach. Iwe maabara tu sio hospital. Ahsante
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alikuwa na hoja ya msingi, tatizo sio kukopa bali kukopa wakati kuna tozo za miamala ambazo mlidai zanajenga madarasa na vituo vya afya

    Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi. Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  16. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  17. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  18. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Bugando wanaleta mzaha kwenye afya za wa Wagonjwa wa Figo. Dr. Gwajima fuatilia hili

    Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika. Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
Back
Top Bottom