afya

  1. JamiiForums Tanzania Idara za TAMISEMI, Mahakama, Ardhi, Elimu na Afya zaongoza kulalamikiwa Mara

    TAKUKURU Mkoa wa Mara imepokea Malalamiko 139 ndani ya miezi mitatu (Januari - Machi 2022), na Idara zilizolalamikiwa zaidi ni pamoja na TAMISEMI (58), Mahakama (15), Elimu (14), Ardhi (13) na Afya (12) Katika Malalamiko hayo, 106 yalihusu Vitendo vya Rushwa na mengine 33 hayakuhusiana na...
  2. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Afya ataka Mganga Mkuu Wilaya ya Kigoma aondolewe kwa kutokuwa muwajibikaji

    Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma amelalamikiwa kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma ya afya na kukosa uwajibikaji pamoja na kuonesha utovu wa nidhamu Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Profesa Abel Makubi akiwa katika ziara Mkoani Kigoma ambapo pia inadaiwa mganga huyo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais, Idara ya Afya OR-TAMISEMI ihamishie Wizara ya Afya chini ya Mganga Mkuu wa Serikali ili kuongeza Uwajibikaji, utakuja nishukuru baadae

    Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA YA AFYA (MOH) na WIZARA NDOGO YA AFYA (Idara ya Afya OR-TAMISEMI). Ukienda Halmashauri na Mikoani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vip kwa matokeo haya atapata kusoma mambo ya afya , au aende tu A level asome masomo ya art

    Civics B, History C, Geograqhy C, Kiswahili C, English C, Literature C, Biology D, CHEMISTRY D, PHYICS D, MATHEMATICS F.
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi makini na anayejali wananchi wake asingekubali zaidi ya bil 11 kutumika kutengeneza filamu ya namna hii badala ya kuboresha huduma za afya

    Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima. Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba. Hakuna kitu...
  6. JamiiForums Tanzania Namba za NIDA zitumike kuajiri walimu na wataalamu wa Afya

    Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani. Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
  7. JamiiForums Tanzania Leo nimetembelea hosptali. Hakuna utajiri zaidi ya Afya

    Today early in the morning I visited Ocean Rd kiukweli Hapa Duniani Afya ndo kila kitu. And Everything is about God's Grace Inaumiza sana kuona namna watu wanavyopambania Afya kwa Mateso makubwa. Kama u hai na Mzima ni Jambo la kushukuru maana hapa Duniani twapita tu. Nothing lasts. Afya...
  8. JamiiForums Tanzania WHO yashauri hatua za haraka kuchukuliwa kukabiliana na maambukizi ya MonkeyPox

    Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  10. JamiiForums Tanzania Unachukua hatua gani kuhakikisha chakula unachokula ni salama?

    Inakadiriwa Watu Milioni 600 (Takriban Mtu 1 kati ya 10) huumwa baada ya kula Chakula kisicho salama, ikielezwa 420,000 hupoteza maisha kila Mwaka Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Watoto chini ya Miaka 5 huathirika na madhara ya Chakula kisicho salama kwa 40% ikikadiriwa kwa mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Swali: Kati ya AFYA bure na ELIMU bure nini kinapaswa kutangulia?

    Hello! Kuna jambo nimefikiria hapa, nimeona ni wakati sasa serikali ya Tanzania kutoa ELIMU bure kuanzia msingi mpaka chuo kikuu, bila kuisahau kutoa huduma bure za msingi za afya. Kwakuwa tuko kwenye dunia ya 3 si rahisi kuanza vyote kwa pamoja. Kimoja lazima kianze na kingine kitafuata...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili uhalisia wa kilimo biashara cha sasa na kilimo afya

    Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali) inayopuliziwa kwenye majani, si kuunga ardhini. Matokeo yake ekari moja unayopata gunia 5 au 10 za...
  13. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hatuna mgojwa wa Monkeypox nchini

    Kutokana na taarifa za kuenea kwa ugonjwa unaosababishwa na #MonkeyPoxVirus, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa hadi sasa hakuna kisa kilichorekodiwa cha mgonjwa wa virusi hivyo nchini. - Aidha Wizara imesema inaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na ugonjwa huo kama...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Baraza la Afya Duniani kufuatilia COVID-19, Afya na amani

    Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani. Janga la COVID-19 linaendelea kuwa moja ya vipaumbele vya mkutano wa mwaka huu wa WHA ambao ni wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya chukueni ushauri huu kuhusu madakatari wenye maslahi binafsi

    Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania. Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wetu wa afya (MDs, Nurses & Pharmacists) tunzeni maadili! Mheshimiane, msiingiliane na msihasimiane! Wote mnahitajika kila mmoja sehemu yake

    Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
  17. JamiiForums Tanzania Maduka ya dawa Tanzania yanatumika kutuibia, kututesa, kuharibu afya zetu na kutuua?

    Kwa siku za karibuni hapa JF kuna mjadala mkali sana unaendelea kuhusu taaluma ya ufamasia na maduka ya dawa hapa Tanzania. Kupitia mijadala hiyo, nimejifunza mambo kadhaa ambayo hapo kabla sikuyajua kwa kina. Nimegundua mambo haya: 1. Mtu ili kuanzisha na kuendesha biashara ya duka la dawa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kulipia bima ya papo kwa papo?

    Leo kwa kweli nimeichukia sana Wizara ya Afya. Leo asubuhi nilimpeleka mgonjwa wangu ambaye alikuwa amevimba mguu ili apate matibabu katika KITUO CHA AFYA CHA UTEGI -WILAYA YA RORYA, Mkoa wa Mara. Kwanza tuliambiwa kulipa Bima ya Afya ya papo kwa papo ya Tshs.5,000(elfu tano). Alipomaliza...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  20. JamiiForums Tanzania Maazimio yatakayoleta mabadiliko chanya kwa Sekta ya Afya na Medical Laboratory Tanzania

    Kikupe mrejesho kidogo kwa kikao MELSAT cha mwisho kilichofanyikia MUHAS kati ya mambo tuliokubaliana na yakachukuliwa na mwanasheria kuyafanyia citation ili yapelekwe kwa wahusika yaanze kutumika rasmi ni kama ifuatavyo 1. Mkuu wa maabara au msimamizi wa department anatakiwa awe na basic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…