afya

  1. W

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya. Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
  2. JamiiForums Tanzania Je, hili la michezo ya upatu ni tatizo la afya ya akili au ulimbukeni tu?

    Salaam wakuu Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry. Compounding huku akinisihi...
  3. JamiiForums Tanzania Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

    Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari. Iko hivi last month jumatatu tarehe 20 nilipata ajali maeneo ya Ngunja Mkuranga nikiwa na pikipiki...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Wizara ya Afya kwa kukabiliana na uvumi wa maji ya ajabu Micheweni

    Miaka kadhaa imepita baada ya Tanzania kushuhudia vifo vilivyotokana na usanii wa "Babu wa Loliondo". Hivi karibuni kule micheweni Zanzibar palizuka uzushi mwingine wa uwepo wa maji yanayotoka ufukweni yakisemekana yanaweza kutibu magonjwa mbalimbali jambo ambalo limebainika sio la kweli...
  7. JamiiForums Tanzania Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Virutubisho na faida za Tangawizi kwa afya

    Ni mzizi ulio na faida kubwa sana kwa afya. Vyanzo vya kihistoria vinataja asili ya mzizi huu kuwa ni Kusini mwa bara la Asia. Hupatikana kwenye familia kubwa ya Zingiberaceae. Kwa mujibu wa USDA, tangawizi ni mzizi ulio na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini chuma...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

    Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya Sh1.97 bilioni kwa ajili ya hospitali za Zanzibar ambao haukutekelezwa ipasavyo. Chini ya mkataba...
  10. JamiiForums Tanzania Bilioni 8.75 zatengwa kukamilisha Vituo vya Afya 20 nchini

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 8.75b kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya 20 katika Halmaashauri nchini Akizungumza Bungeni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais–TAMISEMI, Festo J. Dugange amesema fedha...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara Afya mnajiandaaje na Umeme vijijini?

    Ni kweli sasa hivi umeme unasambazwa hadi vijijini kwa kasi. Hii inamaana kuwa hata kule vijijini kabisa kutakuwa na umeme, lakini tunapofurahia faida za umeme kule vijijini lazima pia tusikitie hasara zake. Faida za kuwa na umeme zinafahamika sana hivyo sitahangaika kuzitaja hapa kwakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili kulinda na kutunza Afya yako ya Akili

    Punguza Matumizi ya Teknolojia: Unapotumia muda mwingi kwenye Mitandao ya Kijamii au Michezo ya Video (Games) inaweza kuathiri Afya ya Akili hasa vile unavyochukulia mambo au kufikiri. Jifunze kudhibiti matumizi ya Teknolojia kwa kufanya shughuli za kujenga mwili na akili. Simamia Muda Vizuri...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwa na Mahusiano (Kuoa /Kuolewa ) na Mtu anayefanana jina na wazazi wako?

    Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo. Haya tayari nimeshachokoza Mada ( Uzi ) hivyo Karibuni Great Thinkers wa JamiiForums muweze Kutiririka na Kuserereka katika hili...
  14. JamiiForums Tanzania Afya: Ndizi za umeme zina usalama kwa afya?

    Kumekuwapo na uivishaji wa ndizi kwenye makontena ya umeme Dar es Salaam. Sifa ya ndizi hizi ni kwamba zina rangi nzuri, tamu ila hazina harufu sana kama ndizi za kuzalisha kienyeji. Mchakato wa uzalishaji ndiyo unanipa mashaka. Kwanza, ndizi hukatwa chane na kuchovywa kwenye maji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya 234 mwiba mchungu

    Miaka 2 iliyopita baada ya kuapishwa Rais Samia, TAMISEMI chini ya Bashungwa walianzisha ujenzi vya vituo vya afya na zahanati kila kijiji na pesa kupelekwa katika kila halmahsauri vikitakiwa vianze kutumika kabla ya mwezi wa 11, 2022 lakini mpaka sasa ni mwiba mchumngu. Halmashauri nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mabadiliko kwenye Juice za Azam?

    Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic. Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Mtoto Mchanga adaiwa kupoteza maisha kwa uzembe wa Nesi, Kituo cha Afya Bulale

    Iko wazi kwamba Serikali ya Awamu ya Sita dhamira yake ni kuona wananchi wake hawapati shida, lakini cha ajabu ni kwamba Kituo cha Afya Bulale kilichopo Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza badala ya kuwa msaada kwa Wananchi chenyewe kimegeauka kuwa kituo cha "mauaji". Ni kwamba...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga. Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola. "Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake." Maajabu ya Mussa. Tangu lini uswahilini neno Marburg...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…