Hivi kuna mabadiliko kwenye Juice za Azam?

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,992
Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic.

Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na nikacheki ingredients sikuielewa sio mtaalam wa vitu hivyo ata sikuimaliza Ile juice nikaimwaga chini ikawa inatoka na ule Ute ute wa njano.

Mbona zamani zilikuwa juice nzuri zenye ladha ya embe kabisa, Kuna tatizo gani kwenye uzalishaji uko kiwandani?

Wana jali afya nzetu kweli? vp tfda na tbs Wana hakiki hizi bidhaa vizuri?

images (4).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom