afya

  1. JamiiForums Tanzania Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

    Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili! Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM yagawa ' Vyombo vya Usafiri 337 ' kwa watumishi wa afya ngazi ya Jamii

    Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika Manispaa ya Songea na Halmashauri ya Wilaya ya Songea wamekabidhiwa jumla ya baiskeli 337 kwa ufadhili wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania Limited ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya kwa wananchi. Katika Manispaa ya Songea, baiskeli 140 zimetolewa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kindimbachini - Mbinga kuna Mtumishi wa Umma anauza dawa za Taasisi kimnyemela

    Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini. Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutoka halmashauri ya Busokelo, sijalipwa fedha zangu za uhamisho wala posho ya likizo tangu 2021

    Mimi niliajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo mwaka 2021, nikifanya kazi katika Hospitali ya Wilaya. Baada ya miezi miwili nilipewa barua ya kuhamishwa kituo cha kazi, hivyo nikaandika barua ya kuomba posho ya uhamisho. Hata hivyo, hadi leo sijalipwa. Nimekuwa nikiandika barua za...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

    Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
  6. JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa mauzo ya bidhaa za Afya mtandaoni (kazi ya kudumu)

    Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp. Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele. Kazi hii ina...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wajawazito wanasita kwenda Kituo cha Afya Nindo - Shinyanga Vijijini sababu wanatozwa hela

    Ninaishi Iselemagazi, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu huduma zinazotolewa katika Kituo cha Afya Nindo. Katika kituo hicho, wanawake wajawazito wanaoanza huduma za kliniki hutakiwa kulipa shilingi 10,000, na wakati mwingine fedha hizo hukusanywa bila...
  8. JamiiForums Tanzania Kanuni 30 za Afya kwa Wanaume Kabla ya miaka 35

    CODE 30 ZA AFYA AMBAZO KILA MWANAUME ALIPASWA KUJUA KABLA YA MIAKA 35. HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WENGI HUYAGUNDUA WAKIWA WAMECHELEWA. 1. Kiwango chako cha homoni ya kiume Testosterone kitaanza kushuka ukifikisha miaka 30. Nyanyua vyuma, pata usingizi wa kutosha na kula lishe bora ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  10. JamiiForums Tanzania Matumizi ya akili unde katika huduma za ultrasound kuboresha afya ya mama na mtoto

    Mwongozo wa matumizi ya teknolojia ya akili unde (Artificial Intelligence – AI) katika huduma za utra sound kwa afya ya mama na mtoto unatarajiwa kuwa suluhisho muhimu katika kuboresha ubora na upatikanaji wa huduma za afya nchini Tanzania. Mwongozo huo unaandaliwa kwa lengo la kuweka viwango...
  11. JamiiForums Tanzania Swala la kisheria:Umehukumiwa kesi ya kuua alafu unabahatika baada ya kusota mda na kuzeeka unakutana na marehemu ni mzima wa afya baada ya kutoka.

    Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu. Mwisho wa siku yule marehemu waliyesema mahakamani umehusika na unamfahamu au kupeleleza unakutana naye .Je mahakama itafanyeje
  12. JamiiForums Tanzania "Je, Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba tu, si kwa ajili ya afya?"

    Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi tunachagua chakula kwa bei nafuu, ladha au wingi wake, lakini si kwa ubora wake kiafya. Matokeo yake...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolipa kodi za nyumba, chakula na ada za watoto huku mkiwa na waume nyumbani wenye afya njema, mmechanganyikiwa? Are you stupid?

    Mbaya zaidi wengine mnawalipia hadi madeni yao binafsi. Acheni upuuzi. Kuna baadhi hadi mnapokea vipigo. Usiingilie majukumu ya mwanaume. He has to provide for his family.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
  15. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  17. JamiiForums Tanzania Je, wajua rangi ya ulimi wako inaweza kueleza afya yako?

    Ni ipi rangi ya ulimi wenye afya? Machapisho ya kisayansi na tafiti zinabainisha kuwa rangi ya ulimi wenye afya inapaswa kuwa ya ‘Pink’. Ulimi wenye afya pia huwa na vipele vidogo vinavyoitwa papila kwenye uso wake wote. Papila hizi husaidia katika kuzungumza, kuhisi ladha, kutafuna na kumeza...
  18. JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa afya Zanzibar: Sikusema watu wa bara wasitibiwe

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara. Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026 wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa DW baada ya kuibukwa kwa mjadala wakati akijibu swali kupitia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Afya Kimara Mavurunza, mtoto chini ya miaka mitano akishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa

    Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia mijadala ya kero ya malipo kwa wajawazito Wajawazito wanalipia huduma Kituo cha Afya Nyangoto na...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Gongo la Mboto A na B: Taka zalundikwa Barabarani, zinaleta uharibifu wa barabara na kuhatarisha Afya za Watu

    Jumapili nilipata fursa ya kutembelea eneo la Gongolamboto AIESS, lakini nilichokikuta kuhusu hali ya usafi kinatia wasiwasi mkubwa. Taka zimejaa na kulundikwa barabarani kabisa, hali inayoonyesha kuwa zimekaa kwa muda mrefu bila kuondolewa. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba taka hizo zipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…