Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
963
Reaction score
808
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
 
Bima ya ya afya ina malengo mazuri. Lakini kwa muundo uliopo, kuna dhulma ndani yake.
 
Back
Top Bottom