Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
702
Reaction score
631
Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika jijini Arusha, uliokutanisha zaidi ya washiriki 2,700 kutoka mataifa 27.
 
Back
Top Bottom