Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 716
- 642
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
📍Arusha-Tanzania
🗓️Septemba 09, 2026
———————————————-
Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika jijini Arusha, uliokutanisha zaidi ya washiriki 2,700 kutoka mataifa 27.