afya

  1. JamiiForums Tanzania Dar: Madaktari wamuangukia Rais Magufuli, amwaga ajira 1,000 za Madaktari, aelezea alivyozimia siku mbili mbele ya Zainabu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 20, Febuari, 2020 anazungumza na Madaktari pamoja na watumishi wa Sekta ya Afya katika Hafla Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Nchini inayofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wazidi kuvuka mpaka kufuata huduma bora za afya Tanzania

    Hii ndio maana halisi ya msemo usemao "If you can't fight them, join them". Majirani karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, very serious question concerning Chinese here in Dar es Salaam

    Nimepita sehemu nyingi sana za DSM ambazo kuna wachina , mikocheni, Masaki, nakadhalika. Hawa jamaa wanavaa Mask za kuzuia Corona. And they are very serious Ni Kama wapo Wuhan, sasa wanatuogopesha wananchi wa kawaida. Je, wizara ya Afyaimeshauri wananchi wote tuvae haya madude? If not Whats...
  5. JamiiForums Tanzania Wabunge waitaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia maiti ndugu wanaposhindwa kulipa gharama za matibabu

    Wabunge wametaka Serikali kuacha tabia ya kushikilia miili ya wanaofariki na ndugu zao kushindwa kulipa gharama za matibabu kwa wagonjwa wanaofariki badala yake imetakiwa kusamehe. Hoja hiyo ilitolewa na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Mussa Mbarouk wa Tanga wakati wakichangia...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya ni lini dawa zetu za asili zitaanza kupatikana kwenye hospitali za Serikali?

    Hospitali za serikali zimejaa dawa za wazungu tu. Waziri wa Afya tunakuuliza ni lini dawa zetu za asili zitakuwa zikipatikana pia kwenye hospitali za Serikali? Tunataka mtu ukienda hospitali Daktari akuandikie nenda dirisha la dawa kachukue kichupa cha muarobaini nk. Watu tumechoka kutumia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serukamba: Serikali iige Rwanda ambako raia wote wana Bima ya afya na wale "wanyonge" wanakatiwa bima na Serikali

    Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Huduma za jamii ameitaka serikali kwenda kujifunza Rwanda ambako raia wote wa nchi hiyo wana Bima za afya. Serukamba amedai wananchi wanyonge wa Rwanda ambao ni kama 4% ya wananchi wote wanalipiwa bima zao na serikali. Serukamba amesema hayo wakati akifunga...
  8. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

    Pitia hii ni muhimu. USSR Sent using Jamii Forums mobile app
  9. JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa USD 400,000 za Sekta ya Afya: Philip Mpango alikuwa wapi mpaka aambiwe na Global Fund wenyewe?

    Kwenye vyombo vya habari jana kuna taarifa inaonyesha Waziri wa Fedha Philip Mpango akitiliana sahihi kupokea msaada wa USD 600 Million kutoka Taasisi ya The Global Fund ambayo ndiye mfadhili mkubwa wa dawa za Malaria, Kifua Kikuu na Ukoma. Katika makabidhiano ilionekana kuna USD 400,000...
  10. JamiiForums Tanzania Wachungaji wanapaswa kupatiwa elimu ya afya na usalama ili kutohatarisha maisha ya raia

    Muono wa Dunia kwenye Afya na usalama tumepewa jina "SUFURI" kwa maana ya kwamba kupunguza vifo, magonjwa na ajali kufikia asilimia sufuri. Afya na usalama mahali pa kazi ni jambo la muhimu sana ili kuongeza ufanisi, uzalishaji na ubora wa kazi na hili ni lengo mojawapo kwenye Malengo endelevu...
  11. JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

    Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Taa za umeme za LED huleta nafuu katika bili ila ni hatari kwa afya

    Heri ya mwaka mpya wakuu, Taa za LED zimepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa na mwanga mkubwa huku ulaji wake wa umeme ukiwa ni kidogo. Licha ya faida hiyo kutokana na tafiti mbalimbali taa za LED,zimeonekana kuwa na madhara kiafya,licha ya wataalamu wanao unda taa hizi...
  13. JamiiForums Tanzania JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Shirika la afya la ulimwenguni (WHO) kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kuwa janga la Dunia

    Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

    Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya ni nini?

    Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka za afya zichunguze vifaa vya kuua vidudu vya maambukizi (Sterilizers) kwenye saloon za wanaume

    Hapo nyuma nilikuwa na mazoea ya kwenda saloon fulani ambayo nilikuwa nimeizoea kama ilivyo kwa watu wengi. Mara zote nilipokuwa nanyolewa mashine ya kunyolea ilikuwa ikitolewa kwenye sterilizer ambayo huwa wakati wote kitaa cha ON (Chekundu) kinaonesha kuwa ipo ON na kwa hiyo ina maanisha...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

    Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi. Shukrani!!
  19. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

    Habari za wakati huu wanajanvi, Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F Je anaweza kusoma kozi gani ya afya? Ahsanteni
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…