Wizara ya Afya, very serious question concerning Chinese here in Dar es Salaam

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
53,869
2,000
Nimepita sehemu nyingi sana za DSM ambazo kuna wachina , mikocheni, Masaki, nakadhalika.

Hawa jamaa wanavaa Mask za kuzuia Corona. And they are very serious Ni Kama wapo Wuhan, sasa wanatuogopesha wananchi wa kawaida.

Je, wizara ya Afyaimeshauri wananchi wote tuvae haya madude? If not Whats the matter? Hawa jam wanatuogopesha sana was create panic.
FDEDE143-0BB7-4A3F-B83A-5C90EDFEC9B4.jpeg
 

laii

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
701
1,000
Kwa kawaida mask ina sehemu mbili, ukivaa upande mmoja ni wa kujikinga usiambukizwe magonjwa kwa njia ya hewa na ukiigeuza unawakinga waliokuzunguka usisambaze ugonjwa uliokua nao kwa njia ya hewa.So mask ina rangi mbili Blue na nyeupe,ukivaa rangi ya blue ikiwa nje unawakinga usiwaambukize wenzako, ikiwa rangi ya nyeupe inaangalia nje unajikinga wewe usipate maambukizi. Sasa inategemea huyo Balozi alivaaje iyo mask.
Niliona picha moja Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan akiongea na Balozi wa China nchini humo akiwa kavaa vifaa hivyo vya kujikinga na Corona virus! Sijui huyo Balozi alijisikiaje.
Screenshot_20200213-131940.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
18,258
2,000
Jana tu peke yake wamekufa watu 240 ndio idadi kubwa kwa siku kutokea
Na Saudia limewakumba pia wamekufa watu wengi
Hawa bila kuwadhibiti wataeneza kila nchi na wengine ni uvivu tu wa kuona kuwa wako mbali na haliweza kufika
Tusidanganyane tuwe wakweli kwani inatibika na wengi wamepona ila inahitaji quarantines kuwaweka peke yaoSent from my iPhone using Tapatalk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom