afya

  1. JamiiForums Tanzania Akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia "Maternity bag"

    Kama unampenda kweli Dada wa watu uliyempa ujauzito akikaribia kujifungua muandalie begi la kujifungulia " Maternity bag". Ni kweli Serikali imejitahidi sana kuboresha huduma za afya lakini bado wanajamii hatupaswi kubweteka, tujitahidi kugusa pale tunapoweza.
  2. JamiiForums Tanzania Ujerumani: Marekani kutengana na WHO kutaathiri Afya ya Dunia

    Ujerumani imekasirishwa na uamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump wa kukata mahusiano na shirika la afya ulimwenguni WHO ikiielezea hatua hiyo kuwa na muvunja moyo na inayorudisha nyuma afya ya dunia. "WHO inahitaji kufanyiwa mageuzi kama linataka kuleta maadiliko yoyote" aliandika Waziri wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

    Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020 FULL TEXT: Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  5. JamiiForums Tanzania Human Resources and Administrative Officer at Afya Plus

    Afya Plus is a local Non-Governmental Organization registered under NGOs Act no.24 of 2002 in Tanzania. Afya Plus is an affiliate of IntraHealth International Inc, a not-for-profit organization headquartered in Chapel Hill, North Carolina, USA, with more than 40 years of experience in over 100...
  6. JamiiForums Tanzania VYUO VYA AFYA.

    Samahanini Ndungu..Kwanza Habarin Za Wakati Huu. Mimi Nina Swali.. Hivi Ukitaka Kusomea MD Ni Miaka Mingapi After Kumaliza Form 6. Na Je Ada Yake Inacost Ngapi Kwa Mwaka Kuanzia Mwaka Wa Kwanza. Ufafanuzi Tafadhali.
  7. JamiiForums Tanzania Mei 23, Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani: Waziri wa Afya ahimiza wanawake wenye matatizo kwenda Hospitali na Kutibiwa

    Waziri wa Afya amesema Wanawake wenye matatizo ya Fistula nchini wanatakiwa kuacha tabia ya kujifungia ndani na badala yake amewataka kwenda kupata matibabu katika Hospitali zilizoainishwa na Serikali bila gharama yeyote. Leo ni Siku ya Fistula duniani Tarehe 23 Mei 2020. Waziri Ummy Mwalimu...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  10. JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  11. JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

    Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Holili 17 Mei 2020 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amesema kwamba malori ya mizigo kutoka Kenya hayataruhusiwa kupita katika mpaka wa Holili. Katika muongozo mpya unaolenga malori ya mizigo ya mataifa mengine...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa Utaona ya Ndugai. Wanakufa wabunge CCM ila wanalindwa wa Chadema wakapime afya zao

    Siku zote huwa naamini kwenye usemi ule wa kwamba ukiwa na hasira jaribu kujiepusha kufanya maamuzi, kwani unaweza ukaonekana kituko. Hakuna ubishi kuwa wiki hii yote au tokea wabunge wa Chadema waondoke bungeni kwa ajili ya kuji-quarantine kuna mtu mmoja pale bungeni na si mwingine bali Job...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni sahihi bajeti ya kampeni CCM kuelekezwa kwenye huduma za Afya ya Jamii

    Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k. Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona

    Jana ilikua madereva 23 wa Tanzania, leo ni nane. Halafu ukiwaza wote hawa kabla kufika mpakani na Kenya huko walikotoka wanatema mbegu balaa, natumai kila wanaorudishwa kwao hawaingii mtaani, wanajifungia au kufungiwa sehemu. Sijui lini ndugu zetu wa Kusini watelewa kwamba hiki kitu kipo na...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoishi ndiyo matokeo ya afya yako

    Mwezi January maisha yalikuwa tofauti na yalivyo sasa. Covid-19 tuliisikia tu kama hadithi kutoka Wahuan. Nilialikwa kwenye tafrija moja. Nilikutana na mwanaume wa Kitanzania, ni Mhandisi kitaalauma. Yule bwana anavutia sana, hana tumbo na kwa jinsi alivyopangilia mavazi yake, zaidi ya mvi...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

    Akihojiwa na DW, waziri wa zamani wa mambo ya nje mheshimiwa Bernard Camilius Membe amesema katika awamu hii ya utawala wa Magufuli, diplomasia imeshuka mno. Membe anaonya kwamba, tanzania awamu hii inajiendeshea mambo kivyakevyake nje ya utaratibu wa jumuia ya kimataifa. Akoingelea suala la...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangalla asema Afya ni swala binafsi kila mtu apambanie afya yake, atoa dawa yake ya majani inayotibu Corona

    Waziri wa maliasili na utalii mh Kigwangalla amesema maisha ya mtu na afya yake ni maswala binafsi hivyo kila binadamu ana wajibu wa kuipambania afya yake yeye mwenyewe. Kadhalika Dr Kigwangalla ameonyesha aina fulani ya majani ya mitishamba yanayotibu Corona na kuwataka wananchi wayachangamkie...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Nawahurumia sana waziri wa afya Ummy Mwalimu na waziri wa Sukari Innocent Bashungwa kwa sababu huu ni mwaka wa uchaguzi!

    Unaweza usielewe sasa lakini huko mbele ya safari utaelewa tu, hawa mawaziri wawili wamekalia kuti kavu. Katikati ya Corona sukari imeadimika madukani watu wanalazimika kusongamana bila kupenda wakiitafuta sukari. Sisi tulioishi wakati wa vita vya Kagera tunaamini Corona ni vita na hali ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ninaota tu: Ubongo wetu unahitaji na habari kama hizi kwa afya yake sio covid -19 twenty four hours

    Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja. Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…