afrika

  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

    Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt. Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  4. THE BOILER ROOM

    JamiiForums Tanzania Utani wa Kweli: Hivi Jamii Forums haiwezi kugeuka kuwa Chama cha Ukombozi kwenye medani ya Siasa ndani ya Afrika Mashariki na kati kwa Ujumla wake?

    Hoja hii ni nzito sana ambayo mimi mwenyewe kama mwanaJF sina mamlaka ya ku-dictate thread hii kwa maana ya unyeti wake, kwa uchache tu ninachoweza kueleza ni kwa nini nimefikia kufikiri hivyo; 1. Jamii Forums ninayoijua mimi ni ile iliyojaa wanazuoni na wabobezi wenye uwezo na weledi wa kila...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yadaiwa kuisaidia Silaha Urusi kwenye vita ya Ukraine

    Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini ameishutumu nchi hiyo kwa kusambaza silaha kwa Urusi licha ya kudai kutoegemea upande wowote katika vita vya Ukraine. Reuben Brigety alidai kuwa meli ya Urusi ilisheheni risasi na silaha mjini Cape Town Desemba mwaka jana. Ofisi ya Rais Cyril Ramaphosa...
  6. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

    Afrika nzima tulisikitika viongozi wetu wote kupandishwa coaster wakati wa maombolezo ya Malkia Elizabeth. Jamani leo King Charles anasimikwa, je, mmewaona kwenye coaster?
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Rais Samia Yajibiwa, Tanzania Yachaguliwa Kuwa Makao Makao Sekretarieti ya Baraza la Michezo Afrika Kanda ya IV

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo. Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi hii Afrika imelaaniwa au watu wake ndiyo wamelaaniwa?

    JE KUDHIBITI UANZISHAJI HOLELA WA TAASISI ZA KIDINI NI SAWA AU NI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU? Tatizo la matumizi maovu ya imani na vitabu vyake hivi sasa lingekuwa gumzo duniani baada ya matukio yanayohusu "manabii" watatu nchini Kenya. Ulimwengu unajiuliza inawezekana vipi watu wafunge kwa nia...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Makampuni 100 yanayokuwa kiuchumi katika Afrika

    Orodha ya hivi majuzi ya kampuni zinazokua kwa kasi barani Afrika na Financial Times na Statista kwa 2023 inadhihirisha kuwa kampuni katika sekta mbalimbali ziliweza kuendeleza biashara zao hata kama dunia ilizimika kutokana na janga hilo. Kiwango hicho, sasa katika mwaka wake wa pili...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Miziki toka nchi za Afrika

    Luanda, Angola Shiny I - E ndege na
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

    Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini Afrika Kusini, akifungua kongamano la kujadili usalama na ulinzi, demokrasia na biashara barani...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

    Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc. Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

    Maelezo yote yapo katika picha
  19. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa picha: Simba imewahi kutwaa ubingwa Afrika

    Kwa wale wasiofahamu, Simba SC imewahi kutinga na kunyanyua kwapa mara kadhaa katika hatua ya nusu na fainali hatimaye ubingwa huko ughaibuni. Hapa ni moja ya viungo wakabaji akiwa amenyanyua kwapa baada ya kutwaa ndoo. Hapa ni moja ya ndoo zilizochukuliwa na kilabu hiki katika michuano hiyo...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, mwaka 1993 Simba ilicheza fainali za michuano ipi Afrika na Stella ya Ivory Coast?

    Simba ina historia ya kuchezà mara nyingi robo fainali za mashindano mbalimbali ya CAF. Mwaka 1993 kuna mashindano ambayo Simba ilifika fainali, je yale yalikuwa ni mashindano gani? Kwanini Yanga itajwe kwamba ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kufika hatua ya Nusu fainali ya mashindano ya CAF?
Back
Top Bottom