Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂.

Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia ndani ya uwanja hadi kwa makocha.

Ila nani hajui Atletico pamoja na ugumu wake hua inakufa na kifo ni kilekile kama cha simba hua ni moja Bila au 2-1 lakini wanatoka.

Na ukienda ulaya ukasema Team kubwa ulaya Atletico huwez kuiweka meza moja na R.madrid, Barca, Chelsea, Liverpool, Inter milan, Ac Milan, Bayern na Man United.

Ila ukweli Atletico Madrid hua ni moja ya Team ngumu na kila team hua inaiogopa lakini hua inatolewa. So simba ni kama Atletico Madrid tu.

Sema tunaoisifia na kusema ni giant sijui tunaamaanisha nini niseme hatujui Mpira. Moja wao Genta nani yule ndio maana yupo busy na soka la Bongo.
 
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂
Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia.
Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia ndani ya uwanja hadi kwa makocha.
Ila nan hajui Atletico pamoja na ugumu wake hua inakufa na kifo ni kilekile kama cha simba hua ni moja Bila au 2-1 lakini wanatoka.
Na ukienda ulaya ukasema Team kubwa ulaya Atletico huwez kuiweka meza moja na R.madrid,Barca,Chelsea,Liverpool,Inter milan,Ac Milan,Bayern na Man United.
Ila ukweli Atletico Madrid hua ni moja ya Team ngumu na kila Team hua inaiogopa lakini hua inatolewa.
So simba ni kama Atletico Madrid tu.
Sema tunaoisifia na kusema ni giant sijui tunaamaanisha nini niseme hatujui Mpira.
Moja wao GENTA nani yule ndio maana yupo busy na soka la Bongo.
Upewe maua Yako bosi

Umeandika madini matupu
 
Huo ukubwa Simba haijipi yenyewe bali imepewa na mamlaka zinazo simamia mpira barani Afrika yaani CAF na ndio maana wameiweka nafasi ya 9 kwa ubora.

Ww kama unaona haisitairi nenda kawambie CAF waitoe ili waiweke timu yako unayo itaka ww, kama hauwezi basi kaa kimia maana kelele zako hazitabadilisha chochote.
 
Huo ukubwa Simba haijipi yenyewe bali imepewa na mamlaka zinazo simamia mpira barani Afrika yaani CAF na ndio maana wameiweka nafasi ya 9 kwa ubora.

Ww kama unaona haisitairi nenda kawambie CAF waitoe ili waiweke timu yako unayo itaka ww, kama hauwezi basi kaa kimia maana kelele zako hazitabadilisha chochote.
Next match Mtwara mkakomae na kina Namungo kimataifa wamebaki wanaume
 
Back
Top Bottom