Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,165
- 5,551
Jambo Jambo?
Katika ujio wa hao Watanzania nchini Sudan, kuna wengine ni wanafunzi wa vyuo nchini sudan.
Wapo wafanyabiashara, Wenye ndugu kule, diplomatic officials
Kilichonishangaza zaidi ni idadi ya wanafunzi wanaosoma hapo sudan, Sasa mimi najiuliza kwa maana chokochoko za Vita hizi hazijaanza leo kutokana na historia ya sudan na kutengana kwake.
Hivi kweli katika vyuo vyote Afrika, KENYA, UGANDA, ETHOPIA, ERITREA, SOUTH AFRICA, MISRI, na etc.
Kweli mzazi unampeleka mtoto sudan
Haya ona sasa wengine bado semester mmoja wamalize wamerudi.
Bora wale wa UKRAINE hawakujua na tiyari nchi ya Poland imeshafanya process za wao kusoma poland.
Hawa wa sudan je?
Ila wazazi wengi aiseeee
Picha: Mmoja wa wanafunzi aliyekuwa anasoma sudan
POLENI
NB: HOJA YANGU HAIJALENGA DINI WALA KUIDHARAU ELIMU YA SUDAN, BALI NI KUONA MZAZI ANAMPELEKA MWANAE AMBAKO HAKUNA AMANI NA UGAIDI NI MKUBWA
(Wafia dini nendeni jukwaa la dini)
Inshomile
Kagera, Tanzania