afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Marekani kutimiza lengo la kuongeza biashara na Afrika kwa kuilenga China

    Katika siku za karibuni Marekani imekuwa ikiendelea na juhudi zake za kukabiliana na kile inachoita ushawishi wa China barani Afrika, na kutafuta kila njia inayoona kuwa inaweza kusaidia kufanikisha lengo hilo. Hivi karibuni moja kati ya mambo ambayo Marekani imekuwa ikiyataja na kuhimiza kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu wa ikolojia wa China ni mfano wa kuigwa wa maendeleo ya kijani barani Afrika

    China, ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ustaarabu wake wa ikolojia una mifano mingi ya kuigwa na nchi za Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, hususan zile za Kusini. Ustaarabu huu wa ikolojia wa China unaweza kutendeka, una faida, na ni endelevu katika kuleta usasa...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Usemi uliovuma wa "China ni rafiki wa nchi za Afrika" ulipotelea wapi?

    Nakumbuka kuna kipindi hapo miaka si mingi iliyopita watu wengi walikuwa wanaisifia China ndio rafiki wa dhati wa nchi za Africa. Mara ikawa kimya hasifiwi tena, ningependa kujua nini kilisababisha
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kama wananchi na viongozi walifundishwa binadamu alikuwa SOKWE na hawajawahi kulaani huu ushetani wataweza kulinda rasilimali zetu Afrika?

    Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu? Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
  6. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Mafuta na Dola, nashauri Rais atumie fursa ya Mkutano wa Afrika na Urusi

    Nafikiri tumshauri Rais Samia afanye uamuzi mgumu kunusuru uchumi wa nchi kwa mgogoro huu wa mafuta nchini. Tarehe 27/28 July 2023 nchi za Afrika 49 kati ya 54 zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa zilishiriki Mkutano wa Afrika na Urusi mjini St. Petersburg nchini Urusi na mambo Makuu mawili...
  7. The Shah of Tanganyika

    JamiiForums Tanzania Afrika Magharibi inamhitaji Dkt. Samia Suluhu Hassan kusuluhisha mgogoro wa Niger na ECOWAS

    Afrika inahitaji amani kuliko vita. Rais wetu, hebu nenda huko Niger kawasuluhishe kabla hawajaanza kuuana. Ninaamini watakusikiliza kwani wewe ndiye rais mwanamke pekee barani Afrika kwa sasa. Ukifanikisha, utajipatia sifa ya pekee kama Rais mwanamke uliyeweza kuepusha maafa na mauaji ya...
  8. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Je, Afrika yenye utajiri mwingi inakuwaje bara maskini zaidi duniani?

    Je, Afrika yenye utajiri mwingi, inakuwaje bara maskini zaidi duniani, anauliza Captain Ibrahim Traore Raisi wa mpito wa Burkina faso. Captain Ibrahim Traore ni Raisi wa mpito wa Burkina Faso baada ya kufanya mapinduzi ya kijeshi akiwa na umri wa miaka 35 tu. Rais huyu wa mpito wa Burkina Faso...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vita vya Urusi na NATO kupanuka mpaka Afrika Magharibi nani atashinda?

    Kumekuwepo na fununu za muda mrefu juu ya kuwepo kwa wapiganaji wa kikundi cha Wagner kilichohusishwa na kiongozi wa Urusi,Vladmir Putin.Hii ilikuwa ni kabla hata ya kuanza kwa vita vinavyoendelea sasa baina ya Ukraine na Urusi. Katika kipindi kifupi fununu hizo ziliongezeka baada ya kutokea...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya michezo yamekuwa daraja muhimu kati ya watu wa China na Afrika

    Kileta bahati cha Michezo ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu ya Majira ya Joto ya Chengdu “Rong Bao” kimepata jina la Kiswahili la “Jasiri”, ambalo linaonesha matarajio ya watu wa Kenya kwa wanariadha wa nchi hiyo kupata mafanikio makubwa katika michezo hiyo, na pia kuelezea urafiki kati ya...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Afrika yamefungua ukurasa mpya, chaguzi zetu zimeporwa na wazungu

    Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao. Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kisiasa hauwezi kuficha ukweli kwamba China na Afrika zinatafuta maendeleo pamoja

    Hivi karibuni, mashirika ya Umoja wa Mataifa yametoa onyo tena kuhusu hatari ya baadhi ya nchi zinazoendelea kushindwa kulipa madeni, nyingi zikiwa ni za Afrika. Hivyo baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani vinachukua fursa hiyo kurudia tena kile kinachoitwa “mtego wa madeni”. Mathalan...
  13. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Corner bar ya Sinza imebadilishwa muonekano, sijapenda

    Oya wakuu niaje, Kama kawa? Aisee kama mdau wa Corner Bar nimeumia sana baada ya kwenda pale na kukuta kumebadilishwa kuanzia muonekano mpaka burudani zilizokuwa zinatolewa mfano kibao kata nk. Sijapenda sijapenda, yaani baada ya kuona vile nikaondoka tu chap. Sasa wadau kwa wanaofahamuu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

    Katika kipindi cha miaka minne (2020-2023) bara la Afrika limeshuhudia mapinduzi ya kijeshi katika nchi sita (Burkina Faso, Chad, Guinea, Mali, Niger na Sudan). Wimbi hili limekuja baada ya kipindi kirefu cha utulivu, ambao ulilisaidia bara la Afrika kuwa moja ya maeneo yenye ongezeko la uchumi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nani anatukwamisha Afrika?

    Zaidi ya Miongo mitano imepita baada ya mataifa mengi ya Kiafrika kupata uhuru wao kutoka Kwa wakoloni . Lakini Bado hali ya maendeleo katika sekta mbali mbali kama vile elimu, afya, miundombinu na sayansi na teknolojia hairidhishi Wala kuleta matumaini kwamba ipo siku itabadilika na kuwa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Wimbo wa Kiswahili (Africa Anthem) unaounganisha Mataifa yote ya Afrika

    Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vita the Ukraine ni "turning point" kwa nchi za Afrika

    Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia watakuwa kulia na wale wa kushoto watakuwa kushoto zaidi, wa moto watakuwa moto na wa baridi...
  18. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa benki kubwa/bora duniani, Afrika bado changamoto. Tatizo ni nini?

    LIST OF LARGEST BANKS The following are lists of the largest banks in the world, as measured by total assests By total assets Industrial and Commercial Bank of China China Construction Bank Agricultural Bank of China Bank of China JPMorgan Chase Mitsubishi UFJ Financial Group Bank of...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Haya hapa Mashirika/makampuni 500 bora duniani, Afrika mbona kiza ?

    FORTUNE GLOBAL 500 -The Fortune Global 500, also known as Global 500, is an annual ranking of the top 500 corporations worldwide as measured by revenue. The list is compiled and published annually by fortune magazine. The following is the list of top 10 companies in 2022. Fortune Global 500...
  20. L

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania, Kitovu cha Hifadhi ya Historia ya Afrika na Utalii

    Huezi kuizungumzia Afrika, pasipo kutaja Mlima mrefu zaidi, Mlima Kilimanjaro upatikanao nchini Tanzania. Huezi zungumzia Afrika, pasipo kuitaja Serengeti, hifadhi iliyopo nchini Tanzania na iliyoshinda tuzo ya hifadhi bora zaidi barani Afrika mara nne kwa mfululizo na huezi zungumzia Afrika...
Back
Top Bottom