Hivi hii Afrika imelaaniwa au watu wake ndiyo wamelaaniwa?

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,839
JE KUDHIBITI UANZISHAJI HOLELA WA TAASISI ZA KIDINI NI SAWA AU NI KUINGILIA UHURU WA KUABUDU?

Tatizo la matumizi maovu ya imani na vitabu vyake hivi sasa lingekuwa gumzo duniani baada ya matukio yanayohusu "manabii" watatu nchini Kenya. Ulimwengu unajiuliza inawezekana vipi watu wafunge kwa nia ya kufa? Inawezekana vipi mtu ajenge kanisa, mochwari na cemetery na azike wastani wa waumini 10 kwa wiki bila kustukiwa? Inawezekana vipi hospitali ya serikali na ya binafsi iingie mkataba na kanisa kupokea maiti kila wiki? Inawezekana vipi "manabii" aina hii kuakikwa ikulu kwenye shughuli ya kidini bila taasisi za kijasusi kujua shughuli yao?

Mwaka 2019 Rwanda iliamua kuweka Utaratibu WA kuihakiki uanzishwaji na uendeshaji wa taasisi za kidini. Wanaharakati wakiwepo wa Afrika na wa Nje walipinga kwa kigezo Cha kuingilia uhuru wa kuabudu. Hâta Kenya tayari wanaharakati (wakiwemo wa Tanzania) wameanza kupinga. Ukimtizama wabaopinga wengi ni wabaonufaika n'a hii holela ya mtu na Mkewe na ma aunsa kuanzisha kijiwe.

Pia Serikali zetu zinabeba lawama. Zimejikita kusanya kodi kutoka hawa matapeli. Nabii mmoja wa Kenya Bishop Ngagwa anadai amekuwa akilipa milioni 6 kwa mwezi kwa Kenya Revenue Authority, iweje leo Serikali hiyo hiyo idai ni tapeli? Yaani baba uwe unapokea fedha kwa Binti kumbe anajiuza mwili? Lakini Bishop anapaswa kujiuliza je baba alijua bintiye anajiuza? Japo baba anajua Binti hana kazi wala biashara. Si angestuka?

Je tutakuwa wa kwanza ku regulate taasisi za kidini Ili zisiumize wananchi?

Hapana!

Katika jumuia ya ULAYA (EU) Kuna njia mbalimbali zimewekwa kuzuia utapeli kwa kutumia imani na taasisi za kiimani:

1. Mkataba unaitwa "EU CHARTER OF FUNDAMENTAL RIGHTS".
2. SHERIA (EU Directive 2000/43/EC) ambayo moja ya makatazo ni kukataza utapeli kwa mwamvuli wa dini.
3. Sheria ndani ya nchi wanachama wa EU. Ngano nchini France Kuna Sheria inakataza kumhadaa mtu mwingine kisaikilojia au kumhujumu kiuchumi kwa kutumia imani. Nchini Germany ipo Sheria inajulika kwa Jina la "sect filter". Yaani Sheria inayochuja ubovu kwenye shughuli za kiimani. Uovu ni pamoja na kudanganya, kuhujumu, kuondoa haki ya kuishi, n.k.

Nimefarijika kusoma rasimu ya COTU (K) aka shirikisho la wkazi Kenya. Miongoni wa wanachopendekeza ni:

i. Pasiwepo Msikiti au kabisa au taasisi ya kidini ambayo fedha na mali nyinginezo zinamilikiwa na mtu (individual). Pawepo na bodi huru inayomiliki kwa niaba ya waumini. Na wakaguliwe na CAG.

ii. Sheria inayokataza mtu na mumewe au mkewe au mwanae kuwa viongozi wa taasisi isiyo ya kiserikali ambayo inaongoza muundo wa vyama vya wkazi itumike kwenye taasisi za kidini.

iii. Pawepo na vigezo na utaratibu wa kuuhakiki uwezo wa kutenda miujiza. Ukidai unafufua, unatajirisha, unafanya vilema watembee, n.k. upewe kamtihani. Nadhani hii wanapiga Togo. Togo waliweka Toka 2005. Mpaka Leo hakuna aliyejitokeza.

Hitimisho
1. Wanasiasa wetu uchwara mjue hâta huko kwa wazungu mambo haya yamezuiwa kwa Sheria maalumu. Uhuru WA kuabudu haimaanishi kutapeli, kuua au kuhujumu waumini.
2. Serikali amkeni sasa. Jirani kanyolewa tieni Maji. Msidanganywe na porojo za kuingilia uhuru WA kuabudu. Wanaoumizwa kiuchumi ni haohao mnaowaongezea mishahara na kuwatoa mitaji. Nyie mnawapa manabii na mitume feki inawapora. Umasikini utatoweka? Undeni Baraza na taratibu. Fanyeni uchunguzi. Mnaweza kukuta tunao kina McKenzie Wenye makanisa, mochwari na cemetery zao.

Tukienda hivi tutakuwa kama Ghana, Nigeria na Zimbabwe. Walioishi NCHI Hizi watanielewa. Kuna Kijiji Ghana mkoa WA Magharibi walijikuta Kuna manabii zaidi ya wakulima. Zao la cacao likashuka.

Note: Kama unatumia Casablanca on transit au unaenda Casablanca (red city) utapita Hassan IV AIRPORT. Kama unaenda Morocco utashukia Rabat ambao ndio mji mkuu. Wa "kufa kiume" unadhani walishukia wapi? Je wajua umaarufu WA Casablanca ulianzaje? Kwa nini sio Rabat?
 
Serikali zetu haziko kusaidia wananchi wake nategemea serikali ije na muswada wa kusimamia utendaji Nazi wa aya makanisa au misikiti bila ivyoo tunatengeneza Bomu kubwa la watu tegemezi hasa miujizaa wakiisi Mungu atawafunulia ata wakikaa nyumbani
 
Kwani huwa watu wanalazimishwa kwenda kuliwa pesa zao huko, au kufanya cults huko?

Mbona watu wanaenda kwa waganga, wachawi, wapiga ramli na huko hufanya karibia vitu vile vile vya cults, na wala hakuna mtu anayepiga kelele kuona kuwa kuna ubaya huko!

Mungu ametupa akili na utashi wa kutambua mambo kabla hatujatatizika...
 
South Africa ilikuwaje kabla ya waswahili kuwapa madaraka? Ilikuwa zaidi ya Ulaya...... weusi ndiyo shida...tena shida kubwa.Kosa kubwa alilofanya Mungu ni kumuumba mwafrika
 
Kwani huwa watu wanalazimishwa kwenda kuliwa pesa zao huko, au kufanya cults huko?

Mbona watu wanaenda kwa waganga, wachawi, wapiga ramli na huko hufanya karibia vitu vile vile vya cults, na wala hakuna mtu anayepiga kelele kuona kuwa kuna ubaya huko!

Mungu ametupa akili na utashi wa kutambua mambo kabla hatujatatizika...
Sasa mbona yakitokea ya kutokea mnailaumu serikali?!!tena,Serikali jukumu lake kubwa ni kulinda raia wake.
 
Back
Top Bottom