Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,462
Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022.

Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa kuwa Afrika Kusini inajitangaza kutokuwa na upande katika mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine.

Ofisi ya Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ilimekanusha tuhuma hizo na kudai hazina ukweli wowote.

Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa Mwaka 2023, Afrika Kusini ilifanya mazoezi ya kijeshi na Urusi pamoja na China.
---

South Africa gave weapons to Russia - US diplomat

The US has accused South Africa of supplying weapons and ammunition to Russia last December, despite its claim that it is neutral in the war Russia is fighting in Ukraine, South African newspapers are reporting.

In a briefing to South African journalists, US ambassador to Pretoria Reuben Brigety said the arms were loaded on to a Russian ship that had docked at a naval base in Simon's Town.

"Among the things we noted was the docking of the cargo ship in the Simon's Town naval base between 6 to 8 December 2022, which we are confident uploaded weapons and ammunition on to that vessel in Simon's Town as it made its way back to Russia," the ambassador was quoted by South Africa's News24 website as saying.

Asked how accurate the US’s intelligence was that South Africa supplied ammunition to Russia, Mr Brigety said he would bet his life on it, according to News24.

The TimesLive news site quoted Mr Brigety as saying it would be “a mistake to underestimate the concerns in Washington”.

South Africa's .President Cyril Ramaphosa told parliament that "the matter is being looked into", after the opposition questioned him about the ambassador's claims.


Source: BBC
 
Yaani supapawa inapewa msaada na shithole state.

Kwenye Russia ni taifa la kichoko na wote wanao support Russia wana sifa za kichoko.
 
Marekani wapumbavu sana. Kesho wanaweza kusema zile hypersonic zinazowatandika kule Ukraine zimetokea Tanzania.

Wao wanapeleka kila aina ya silaha huku akiwataka washirika wake pia wapeleke ila Urusi akiongeza kibano wanapiga kelele eti wamepigwa na silaha za Somalia
Na nyinyi wapumbavu kwanini mpo mpo tu mnasubiri siku zote kuwa accused, amkeni na nyinyi muwe mnazi accuse hizo nchi za kibabe, sio mnalialia kama wasimbe waliodumaa.
 
Marekani wapumbavu sana. Kesho wanaweza kusema zile hypersonic zinazowatandika kule Ukraine zimetokea Tanzania.

Wao wanapeleka kila aina ya silaha huku akiwataka washirika wake pia wapeleke ila Urusi akiongeza kibano wanapiga kelele eti wamepigwa na silaha za Somalia
Wewe ndo mpumbavu sababu uelewa wako mfinyu. Amesema hivyo saba SA imesema haina upande. Uwe unaelewa. Je, USA haina upande? Mwalimu gani alikufundisha wwe?
 
Back
Top Bottom