afrika

  1. Tamko la chama cha upinzani Afrika Kusini kuhusu kukamatwa kwa Thabo Bester nchini Tanzania

    Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini EFF kimepokea kwa mikono miwili hatua ya kukamatwa kwa Raia watatu wa Afrika Kusini ambao mmoja wa ni Thabo Bester maarufu kwa jina la ‘Mbakaji wa Facebook’, pamoja na Mpenzi wake Dr. Nandipa Magumana na mtu mwingine mmoja aliyetajwa kwa jina la...
  2. Uzi maalumu. Kuonyesha maumbo ya KIBANTU ya MWANAMKE WA AFRIKA

    Naaamu achana na hawa slim body,tupia picha ya mwanamke halisi wa kibantu.
  3. Mfahamu Omar Bongo, Rais aliyetawala muda mrefu kuliko wote Afrika

    Leo katika pita pita zangu za kusoma vitabu, nakutana na historia iliyojaa maajabu, vichekesho, hatamu na mafunzo. Historia ambayo iligusa moyo wangu na kuamua kuiandika angalau wengi wao waifahamu na kuisikia. Mimi na wewe, tunarudi miaka 88 kutoka hii leo, tunaenda kupata stori katika mkoa wa...
  4. Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
  5. M

    Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  6. Yanga yapanda viwango vya Afrika, yaingia 30 Bora

    CAF's TOP 5️⃣0️⃣ Ranked Clubs in Africa after the group stage of the 2022/23 CAF interclub competitions: Based on the 5-year RANKING! 1. 🇪🇬 Al Ahly 2. 🇲🇦 Wydad Casablanca 3. 🇲🇦 Raja Casablanca 4. 🇹🇳 Espérance 5. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns 6. 🇪🇬 Zamalek 7. 🇲🇦 RS Berkane 8. 🇩🇿 CR Belouizdad 9. 🇹🇿...
  7. K

    Tanzania yaongoza Afrika Mashirika kwa kasi kubwa kuhamia kwenye magari ya umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya E-Mobility Alliance, ambayo ilitolewa mwezi uliopita, inaonyesha kuwa kuna angalau magari 5,000 ya umeme (EVs) nchini Tanzania Ingawa uagizaji na utumiaji wa magari ya umeme yana changamoto nyingi kwa nchi Tanzania serikali imeanza kuweka nguvu kutanua wigo wa watumiaji...
  8. J

    Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  9. Historia ndefu ya Afrika kwa ufupi

    MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini. - 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
  10. S

    Serikali ya South Afrika imetuma maafisa wake Urusi kujadiliana namna ya kurekebisha 'global order' ili kuwe na multipolar world

    Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata tamaduni zao, tusilazimishane kufuata tamaduni za kimagharibi (ndoa za mashoga na wasagaji) na pia kila...
  11. Rais wa Benki ya Dunia adai Mikopo ya China kwa Afrika imejaa Mitego na haina uwazi

    Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi. Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo...
  12. Hii hapa orodha kamili ya wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika Mashariki

    Habari mwenye kujua forbes wanaangalia nini naomba ufafanuziii hiii habari sijaelewa kabisa Jarida la Forbes imetoa orodha ya Wasanii wa muziki wenye utajiri mkubwa Afrika Mashariki (East Africa) kwa mwaka 2023. 1. Bobi Wine (Uganda) : Dola milioni (9) 2. Diamond Platinumz (Tanzania): Dola...
  13. Tawi la Yanga Afrika kufunguliwa Lubumbashi

    INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩 Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo Nchini Dr Congo, Wanachama wapya wa klabu hiyo Nchini DR. Congo wameiomba klabu hiyo ikazindue matawi...
  14. Nadiriki kusema nchi za Afrika hususani viongozi wake hawajielewi

    Nchi nyingi duniani zimepitia katika kandamizi za kimabavu za nchi nyenginezo (expansionism)) hii inatokana na kwamba mkataba wa mwanzo wa maisha ulikuwa unategemea sana vita (SURVIVE for war) nguvu zako katika vita zitakuhakikishia kutawaliwa au kutawala (State of Nature). Nchi kama marekani...
  15. Afrika itatawaliwa tena ama itageuzwa dampo la walioendelea

    Wakati Mabara na nchi toka kwenye mabara mengine zinawekeza kwenye mbongo za watu wao, Afrika bado watu wake wanatangatanga kwenye lindi la ujinga na udumavu wa akili unaosababisha umaskini wao. Leo hii karibia Afrika nzima serikali zilizoko madarakani ni taasisi za kikandamizi dhidi ya watu wa...
  16. L

    Kanuni za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zafungua enzi mpya ya mustakbali wa pamoja kati ya China na Afrika

    “Kanuni zilizotolewa na rais Xi Jinping wa China za "Udhati, Matokeo Halisi, Upendo na Nia Njema" zimefungua enzi mpya ya maendeleo ya pamoja kati ya China na Afrika.” Hayo yamo kwenye makala iliyotolewa na gazeti la Daily News la Tanzania yenye kichwa “Tanzania imepata mengi kutokana na Ziara...
  17. Chanjo milioni 40 za Covid-19 kutupwa Afrika Mashariki muda wake ukikaribia kwisha, Tanzania yasema imevuka 50%

    Nchi za Afrika Mashariki zinakabiliwa na hifadhi kubwa ya chanjo za Covid-19 zinazokaribia kuisha muda wake ambazo ilizinunua kwa nguvu kubwa kama yalivyofanya mataifa ya Ulaya kwa ajili ya raia wake. Matokeo yake chanjo milioni 40 zinaweza kugeuka taka baada ya kubakiza miezi michache...
  18. Tanzania kuleta faru kutoka Afrika Kusini baada ya kutokomea kwa ujangili

    Katika jitihada za kuvutia watalii, hifadhi ya Mikumi ina mpango wa kurejesha faru ambao walotokomezwa na ujangili miaka ya 1980 na 90. Faru ambao wako kwenye kundi la wanyama watano wakubwa zaidi wanakosekana Mikumi. Faru wawili wa mwisho walionekana mikumi zaidi ya miaka 30 iliyopita upoteaji...
  19. Nguvu ya Umma Afrika Mashariki ni funzo tosha

    Nchi za kiafrika tunajifunza nini kwa mandamano haya? nijambo la kushangaza ya kwamba raisi aliyejinadi kushinda uchaguzi wa uraisi na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi, yanayotokea leo yanatia aibu, waandamanji waliojitokeza kwa mujibu wa takwimu ni zaidi ya asilimia 77, hapa swali ni je nani...
  20. Baada ya Vita ya Urusi na Ukraine, wanaotumiwa na Wagner watarudishwa Afrika kuwa Mamluki

    Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini. Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela. Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…